BARCELONA FC yaisulubu tena Arsenal | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, March 17, 2016

BARCELONA FC yaisulubu tena Arsenal



Katika ligi ya mabingwa barani ulaya Bingwa mtetezi wa ligi ya mabingwa barani ulaya FC BARCELONA ameungana na timu nyingine SABA kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo

Katika ligi ya mabingwa barani ulaya Bingwa mtetezi wa ligi ya mabingwa barani ulaya FC BARCELONA ameungana na timu nyingine SABA kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa magoli MATATU kwa MOJA dhidi ya ARSENAL.
Mabao ya NEYMAR, LUIS SUAREZ na LIONEL MESSI yametosha kuivusha FC BARCELONA katika hatua ya robo fainali kwa ushindi wa jumla ya magoli MATANO kwa MOJA dhidi ya ARSENAL.
 Bao pekee la kufuta machozi kwa ARSENAL katika mchezo wa jana uliofanyika nyumbani kwa FC BARCELONA, CAMP NOU limefungwa na kiungo MOHAMED ELNENY.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us