New AUDIO | Raymond - KWETU | Download | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, March 17, 2016

New AUDIO | Raymond - KWETU | Download


Baada ya lebo ya wasafi classic baby (WCB),kumtambulisha vyema msanii Rajab abdul,maarufu kama Harmonisy.msanii mwingine kutoka lebo hiyohiyo ya (WCB) anayejulikana kama raymond tiptop.Lebo hiyo imemtambulisha kivingine tena msanii huyu mpya kwa kudondosha ngoma mpya inayokwenda kwa jina la KWETU,hebu pata muda kuisikiliza kwa kudowload kupitia link ifuatayo hapo chini.Usisahau kulike page zetu kupitia mitandao ya kijamii kupitia facebook/tanzaniampya news blog na twitter@TZmpyasasa
 
 
 
http://old.hulkshare.com/dl/dfqgloquu6tc/Raymond_-_Kwetu.mp3?d=1


DOWNLOAD via HULKSHARE
http://www.kikistarmusic.com/uploads/tracks/575010587_1440379002_1699699299.mp3

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us