OBAMA kutembelea CUBA | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

OBAMA kutembelea CUBA


Mamia ya mashabiki wa kundi la muziki cha ROLING STONE cha nchini UINGEREZA, wameendelea kujikusanya katika eneo ambako kikundi hicho kinatarajiwa kutumbuiza
Rais BARACK OBAMA wa MAREKANI
Mamia ya mashabiki wa kundi la muziki cha ROLING STONE cha nchini UINGEREZA, wameendelea kujikusanya katika eneo ambako kikundi hicho kinatarajiwa kutumbuiza wakati wa ziara ya rais BARACK OBAMA wa MAREKANI, nchini CUBA.
Waimbaji wa kundi hilo la ROLING STONE waliahidi kuwa wangewatumbuiza bure wananchi wa CUBA, siku ya Ijumaa, kabla ya kuwasili kwa OBAMA, lakini zoezi hilo halifanikiwa, kutokana na matayarisho mbalimbali ya kumpokea OBAMA.
OBAMA anatarajiwa kuwasili CUBA leo

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us