Wananchi wa zanzibar wapiga kura | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

Wananchi wa zanzibar wapiga kura


Hatimaye Wananchi wa Zanzibar hii leo wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Kisiwani Unguja na Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba 1 cha kupiga kura Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo
Hatimaye Wananchi wa Zanzibar hii leo wamejitokeza kwa wingi  kupiga kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Kisiwani Unguja na Pemba kutokana na agizo la tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Akipiga kura yake katika kituo namba moja katika shule ya msingi ya Bungi  mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM  DKT ALI MOHAMMED SHEIN  amesema, hatua hii ni muhimu katika kukuza  demokrasia ambapo kila mwananchi wa Zanzibar anapaswa kupiga kura kuchagua kiongozi anayemtaka.
Huko pemba  wananchi wamejitokeza kupiga kura kwa wingi ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC HAMAD RASHID MOHAMED amepiga kura huko Wawi PEMBA.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us