Vikosi vya Kenya na al-Shabab vyapigana | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

Vikosi vya Kenya na al-Shabab vyapigana

 
Wanajeshi wa Kenya wanasema waliwaua wanamgambo 21 wa al shabbab.


Kumekuwa na mapigano kati ya wanajeshi wa kenya na wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Juba nchini Somalia.
Kuna ripoti za kukanganya kuhusu maafa.
Wanajeshi wa Kenya wanasema kuwa walivisiwa lakini wakafanikiwa kuwaua wanamgabo 21 licha ya wao kupoteza wanajeshi wawili.
Al-Shabab nao wanadai kuwa waliwaua wanajeshi 20 wa Kenya wakawakamata wawili na kuharibu magari yao sita.
Mapigano hayo yalitokea kwenye barabara inayoelekea mji wa Afmadow ambapo wanajeshi wa kenya waliwaua wanamgambo 19 wa al-Shabab siku ya Jumatano.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us