PAPA FRANCIS aingia Instagram | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

PAPA FRANCIS aingia Instagram



Kiongozi wa kanisa KATOLIKI duniani PAPA FRANCIS, amezindua mtandao wake mpya wa kijamii wa INSTAGRAM, ambao anatarajiwa kuutumia kwa ajili ya mawasiliano mbalimbali na watu
Kiongozi wa kanisa KATOLIKI duniani PAPA FRANCIS
Kiongozi wa kanisa KATOLIKI duniani PAPA FRANCIS, amezindua mtandao wake mpya wa kijamii wa INSTAGRAM, ambao anatarajiwa kuutumia kwa ajili ya mawasiliano mbalimbali na watu.
Uzinduzi wa mtandao huo wa PAPA umekuwa wa mafanikio makubwa, kwani katika kipindi cha nusu saa tangu alipoufungua, watu wapatao milioni moja walijiorodhesha kujiunga na mtandao huo kwa ajili ya mawasiliano, huku wakikubali kubadilishana taarifa za picha.
Kiongozi huyo wa kanisa KATOLIKI ambaye muda mchache kabla ya kufungua mtandao huo, alikiri kuwa hajui kutumia kompyuta, lakini amesema ataendesha mtandao wake huko kwa kutumia simu aina ya SMART.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us