Alichokisema Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB hiki hapa. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

Alichokisema Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB hiki hapa.



Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania.

Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa Diamond Platnumz  ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kwamba March 15 watatangaza msanii mpya waliemsaini katika label yao.
Kupitia kwenye ukurasa wa twitter aliwataarifu mashabiki kwa kuandika..’Panapo Majaaliwa Jumatano Hii Wcb_Wasafi tutamtambulisha rasmi Kijana Mwingine Mpya…tafadhali wadau tunaomba sana Support zenu’>>> Diamond


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us