Tinashe ‘Bullet’ ..(+Audio) | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

Tinashe ‘Bullet’ ..(+Audio)

Nyingine mpya kutoka kwa Tinashe ‘Bullet’ imenifikia iko hapa..(+Audio)

on
Baada ya kuendelea kukaa kwenye headlines nchini Marekani na single yake iitwayo Player aliyomshirikisha Chris Brown hii ni mpya  kutoka kwa mrembo Tinashe Bullet. chini ya maproducer Metro Boomin na Mike Will Made.
Bullet ni single mpya inayopatikana kwenye Album yake mpya iitwayo ‘Joyride‘ , wasanii wengine wakubwa waliosikika kwenye Album hiyo mpya ya msanii huyo ni pamoja na Max Martin, Dr. Luke,Chris Brown, Young Thug, Dej LoafTravi$ Scott, Drake.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us