VIDEO: Rais Magufuli alivaa sura ya kazi kuwaapisha wakuu wa mikoa ila hiki kilichekesha wengi akiwemo yeye | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

VIDEO: Rais Magufuli alivaa sura ya kazi kuwaapisha wakuu wa mikoa ila hiki kilichekesha wengi akiwemo yeye


Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo
vyao vya kazi, watano wamehamishwa vituo vya kazi na mmoja amepangiwa Mkoa mpya wa Songwe sasa wakati wa kuwaapisha kuna mmoja wa viongozi aliteleza kufata kanuni za viapo, tazama kwenye hii video hapa chini.


BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO>>>>

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us