KINGAZI BLOG: 06/23/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, June 23, 2016

HAYA HAPA MAMBO 9 USIYOYAJUA KUHUSU FREEMASON

1. When meeting, Masons do not discuss religion or politics. "There are certain subjects which are prevented or we simply proscribe from discussing within the lodge," Piers Vaughan, master of St. John's Lodge #1 in New York, told Mo Rocca. "And religion is one. Politics is another." One of the world's leading experts on Freemasonry confirms. "Do they discuss forms of politics and events that have...

Rais Magufuli Atoa onyo kali. Kwa wa wafanyakazi.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli amewaonya wanasiasa wanaomchelewesha kufanya kazi ya kuwatumikia Watanzania. Rais Magufuli ameyasema hayo muda mfupi uliopita baada ya kupokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutoka kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Amesema haiwezekani uchaguzi umepita na mshindi amepatikana lakini wanasiasa hao wanaendeleza siasa ilhali wananchi...

NACTE yatoa wito kwa wadau wa elimu kutoa maoni ya utendaji wake

Kaimu Katibu Mkuu wa  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dk .Adolf Rutayuga, (Kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa ikitoa kwa Umma na wadau wa elimu kutoa maoni ya utendaji wake.Katikati ni Mkurugenzi Udhibiti Ubora Rasmalimali watu , Edmund Kinwasi na Kaimu Mkurugenzi  Idara ya  Ufuatiliaji  Tathimini na Uthibiti...

JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI?

Mwandishi;Tito emmanuel REPOST:Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba: 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako. 3. Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya  kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao! 4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi...
 

Gallery

Popular Posts

About Us