KINGAZI BLOG: 06/11/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, June 11, 2016

Mauaji ya Anathe Msuya… Hawara wa House Girl Atiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Anathe Msuya, aliyeuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake. Anathe, ambaye ni dada wa Bilionea Erasto Msuya, aliuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana Mei 26 nyumbani kwake Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Wauaji hao hawakuchukua chochote kwenye nyumba hiyo. Bilionea Msuya...

Ajali Mbaya Yaua 6 na Kujeruhi 8, Same papo hapo kilimanjaro

Hiace ya abiria ikiwa nyang’anyang’a. Hali halisi ya ajali hiyo. Mashuhuda wa tukio hilo, wakitaharuki. Ajali ilivyotokea Majeruhi wa ajali hiyo, Musa Chikira (35), akiwa amelazwa katika wodi ya wanaume, hospital ya Wilaya ya Same. Majerhi wa ajali hiyo, Noel Bakari Kanumba (36), alikuwa anatokea Same Mjini akienda Kavambughu. Majeruhi wa ajali hiyo, Musa Chikira (35), akiwa amelazwa katika wodi...

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Wajitoa Kamati ya Bunge ya Ukimwi Baada ya IKULU Kuwanyiima Kibali cha Kwenda Marekani

Ofisi ya Rais Ikulu imewanyima vibali vya kusafiri kwenda Marekani wabunge wawili wa Kambi ya Upinzani, bungeni na kumruhusu mbunge wa Geita Mjini (CCM), John Kanyasu. Wabunge hao wa kambi ya upinzani waliochaguliwa kwenda Marekani ni Savelina Mwijage (CUF) na  Mwita Mwaikabwe (Chadema) Wabunge hao watatu ni wajumbe wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi, lakini baada ya kunyimwa vibali hivyo...
 

Gallery

Popular Posts

About Us