KINGAZI BLOG: 07/20/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, July 20, 2016

7 Employment Opportunities at Azania Bank

AZANIA BANK LTD EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Azania Bank is a Commercial Bank which was recently recorded fast growth. Currently the Bank has the vacant positions to be filled. For those who are willing to join well motivated work teams of Azania Bank family please apply as follows:- 1. E-channels Officer Qualification, Experience and Competence – A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business...

VIDEO: Watanzania wauawa, wengine wakamatwa wakiwa na Al-Shabaab Somalia

Baada ya kuwepo kwa taarifa za watanzania kukamatwa wakienda kujiunga na vikundi vya kigaidi na hazikupatikana taarifa zozote za kuthibitisha hilo. Sasa leo July 20 2016 Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi, Augustine Mahiga, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo yaliyojadiliwa katika mkutano wa 27 wa Umoja wa nchi za Afrika uliofanyika...

Wanafunzi Wote Walio Vyuo Vikuu Wasio na Sifa Kuondolewa. Vyuo Kurudisha Fedha za Wanafunzi Hewa...

Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na hata waliopo kazini wataondolewa kwa kuwa hao ndio wanatumia njia za mkato kwenda kupata kazi japokuwa hawana sifa. Waziri amevitaka vyuo vikuu kuchukua wanafunzi walio bora ili kuweka sifa ya ubora wa vyuo vyao Na kuhusu vyuo vilivyochukua fedha ambazo hazikustahili...

OFFICIAL AUDIO | Diamond Platnumz – I Love You | Download

CLICK HERE TO DOWNLO...

NEW AUDIO:Dayna nyange Ft. Billnass – KOMELA | Download

CLICK TO Download HE...

Kim Kardashian alipwa shilingi bilioni 1.5 kupiga selfie na mastaa hawa wa Instagram

Wakati ambapo warembo wengi duniani hupiga selfie kuwafurahisha tu followers wao kwenye mitandao ya kijamii, Kim Kardashian anaingiza mkwanja mrefu.  Tovuti ya Page Six imedai kuwa staa huyo mwishoni mwa wiki alilipwa $700,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.5 kupiga selfie na mastaa Instagram huko Hamptons. Kardashian, aliyepelekwa huko kwa ndege binafsi, alitokea kwenye Revolve Hamptons...

Picha chafu zavuja na kuvunja ndoa ya wiki moja!

Mwanamke huyo akijiachia ‘kimalovee’ na boyfriend wake wa zamani. DUNIA ina maajabu! Mwanamke mmoja (jina halijajulikana mara moja) amejikuta akivunja ndoa yake ya wiki moja baada ya picha zake za utupu akijiachia ‘kimalovee’ na boyfriend wake wa zamani kumfikia mume wake wa ndoa wakati wakiwa fungate (honey-moon) baada ya ndoa yake na mumewe iliyofanyika jijini Dar es Saalam. Tukio hilo la aibu...

Hebu muone Christina Millan akijiachia katika picha hizi akiwa ufukweni

Mwanamuziki Christina Milian, 34 ameonekana akiwa na vazi la ufukweni  kwenye fukwe maarufu za Ibiza nchini Hispania akiwa na mchumba wake mpya Maggio Cipriani. Tukio hilo limetokea. Mwimbaji huyo wa maarufu wa RnB wa nchini Marekani aliwahi kutamba na kibao cha Dip It Lo...

LULU MICHAEL ASEMA HANA BIFU LOLOTE NA HAMISA MOBETO

Msanii wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha tetesi za kwamba ana bifu na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Dj Majay, Hamisa Mobeto. Muigizaji huyo ambaye kwa saa anadaiwa kutoka kimapenzi na Majay, aliingia kwenye malumbano na baadhi ya mashabiki wa Mobeto katika mitandao ya kijamii wakimtuhudi kuiba bwana. Akiongea katika kipindi cha Weekend Chart Show cha Clouds TV Ijumaa iliyopita, Lulu...
 

Gallery

Popular Posts

About Us