...
Sunday, July 03, 2016
Makonda Apiga Marufuku Kuvuta Sigara Hadharani......Pia Kapiga Marufuku Kuvuta bangi
Published Under
KITAIFA

Baada ya kutangaza vita dhidi ya mashoga juzi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana alitangaza vita nyingine; hataki uvutaji shisha akisema inachanganywa na vilevi vinavyoharibu vijana.
Makonda, ambaye alikuwa akihutubia Tamasha la Vijana lililoandaliwa na Upendo Media Group kwenye Uwanja wa Taifa aliagiza wavuta shisha hadharani, sigara na mashoga wakamatwe ndani ya siku saba.
“Ni...
SHARE!
MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) AFICHUA JIPU LA KUTISHA.

Ni jipu. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kusema halmashauri 34 nchini zimetumia Sh1.45 trilioni za miradi kugharimia shughuli ambazo hazikuwamo kwenye bajeti.
Profesa Assad ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni...
SHARE!
HII NDIO SABABU YA RAIA WA BELARUS KUFANYA KAZI WAKIWA WATUPU MAOFISINI.
Published Under
TOP STORIES
Wananchi wa Belarus sasa wamekuwa wakikaa uchi katika ofisi zao baada ya Rais wa nchi hiyo kuwataka kuvua nguo zao na kufanya kazi.
Ukitumia hastag #GetUndressedAndGoToWork utaona picha karibuni maeneo yote ya nchi ambao watu wanapiga picha za utupu na kuziweka katika mtandao ya kijamii.
Rais wa nchi hiyo aliyasema hayo katika mkutano wa tano wa chama cha Belarusian People’s Congress. Mbali na...
SHARE!
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 3 KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA NA MICHEZO
Published Under
MAGAZETINI LEO
...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)