TARATIBU MPENZI-Sehemu ya 3,,,
Mtunzi;Geofrey Malwa Mawasiliano;0712507115
Kumbe alikuwa ni Nelson,alimbananisha mlinzi kwenye ile kona huku akimkunja shati na kumkandamiza kwenye shingo yake maeneo ya koromeo na kumtolea macho kwa ukali,, ,,,pochi yangu iko wapi?,,, ,,,hii hapa Bosi wangu,,,
Aliongea mlinzi huyo maneno yaliyoambatana na kumkabidhi pochi yake Nelson,akiwa haamini kitendo hicho alimwachia mlinzi na kuanza kuikagua pochi yake,alipoona kila kitu kiko sawa,kiubinadamu aibu ilimshika,lakini hakutaka kuomba radhi,aligeuka na kuondoka kwa hatua za taratibu,,,Bosi na hii ni ya kwako?,,,aliongea...
Saturday, April 02, 2016
USIPITWE NA STORI HII KALI YA MAPENZI INAYOITWA>>>TARATIBU MPENZI>>>SEHEMU YA 3
Published Under
HADITHI
SHARE!
EWURA YASHUSHA BEI YA UMEME KUANZIA LEO,SERVICE CHARGE YAZIKWA.
Published Under
KITAIFA

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za
Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa
watumiaji wote wa viwango tofauti....
SHARE!
SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA KUAJIRI WATUMISHI WA AFYA (AJIRA ZA AFYA 2015/16) 10000
Published Under
MUHIMU

Serikali kuajiri watumishi wa afya 10,00.
...
SHARE!
Picha: TRA Wanaipiga Mnada Range Rover Evoque ya Wema Sepetu
Published Under
TOP STORIES

Unaikumbuka ile Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jan...
SHARE!
Msimamo bomba la mafuta watangazwa.
Published Under
KITAIFA
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
KAMPUNI ya Total E&P Uganda imesisitiza kwamba bomba la mafuta
mazito kutoka Uganda, litajengwa kupitia ardhi ya Tanzania kwenda
Bandari ya Tanga, licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kushawishi lipite
katika ardhi ya Kenya kwenda Bandari ya Lamu, ambayo haijajengw...
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 2 2016 kwenye, Habari za kitaifa,kimataifa,udaku na michezo
Published Under
MAGAZETINI LEO
April 2 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa
Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani..
usiache kukaa
karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog, pia kwenye twitter
@tanzaniampysasa.....
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)