SERIKALI
imesema imeamua kuchukua uamuzi wa uzimaji simu feki ifikapo Juni 16,
mwaka huu, kutokana na madhara mbalimbali yatokanayo na simu hiz...
Friday, April 15, 2016
Dunia imeishaa!!!!!!! Bibi Kizee wa Miaka 84 Abakwa na Kijana wa Miaka 32.
Published Under
MAAJABU
Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha
Chungu, tarafa ya Ihanja,...
SHARE!
Maajabu!!!!! mbuzi azaa kiumbe kama binadamu
Published Under
MAAJABU

Goat Gives Birth To Half-Human Half-Goat Creature
We are truly living in the final moments of the end times! All
indications show that a very sharp bad guy has been having sexual
relations with the female goat. Investigation into the matter has
starte...
SHARE!
Anne kilango atoa la moyoni
Published Under
KITAIFA

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela, ameibukia kanisani na kutoa ya moyoni, ikiwa siku tano baada ya Rais Dk. John Magufuli kutengua uteuzi wake.
Kilango, ambaye Jumatatu wiki hii uteuzi wake ulitenguliwa baada ya Machi 20, mwaka huu, kudai kuwa mkoa wa Shinyanga hauna mtumishi hewa wa serikali hata mmoja.
Hata hivyo, Ikulu ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa katika taarifa...
SHARE!
Mr.Flavour apata Skendo ya kupiga picha za uchi
Published Under
TOP STORIES
Msanii wa Nigeria, Flavour amefanya kile ambacho tumekuwa tukikiona
kikifanywa na wasanii wa Marekani tu na tena wa kike, kupiga picha za
nusu utupu na kuweka hadharan...
SHARE!
Soma hapa Ajira zilizotangazwa leo
Published Under
AJIRA

Nafasi za Kazi Diamond Trust Bank DTB,
Nafasi ya Kazi TANROADS, Nafasi za Kazi Olam Tanzania Ltd, Nafasi za Kazi Tanzania Postal Bank ,...
SHARE!
Karandinga laanza kuwasomba ombaomba aibuu
Published Under
KITAIFA

Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda limeanza kufanyiwa
kazi baada ya karandinga kuanza kuwasomba ombaomba waliojaa katika
maeneo mengi jijini Dar es salaam....
SHARE!
Serikali ya Marekani Yaahidi Kuendelea Kuisaidia Tanzania
Published Under
KITAIFA

Serikali ya Marekani imeihakikishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kuendeleza uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili ikiwa ni
pamoja na kutoa...
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 15 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO
April 15 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo
na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache
kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani
facebook/tanzaniampyasasablog
na twitter@tanzaniampyasasa
...
SHARE!
Lugumi aikimbia nchi atorokea ughaibuni.
Published Under
KITAIFA
*Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane, haijulinani alikokwenda
*Ni yule anayetajwa kwenye mkataba tata uliohusisha vigogo wa Serikali, Jeshi la Polisi
KIGOGO anayemiliki Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd, Said Lugumi, ametoroka nchi,...
SHARE!
Ukiona mpenzi wako yupo hivi mwepuke ni laghai
Published Under
MAHUSIANO
BINADAMU tunapenda kupendwa, na tukipenda tunajisahau hivyo tunashindwa kuchunguza kama hawa tulio nao ni sahihi au la.
Kuna mambo mbalimbali ambayo yanaweza kukupa
ishara kuwa huyo uliyenaye hana mapenzi ya kweli, ni laghai.
Leo tutazungumzia masuala ambayo
mpenzi wako anapaswa kuwa nayo, akiyakosa jua wazi kwamba hakufai.
Unachotakiwa kufanya n...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)