Image copyrightAFPImage captionTunick anasema hiyo ni sanaa halisi
Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza.
Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni.
Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina...
Sunday, July 10, 2016
Mwanaye Osama aapa kulipiza mauaji ya babake
Published Under
KIMATAIFA
Image copyrightGETTYImage captionKiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda Osama bin Laden
Mwanaye aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda Osama bin Laden, ameapa kulipiza kisasi kwa mauaji ya babake.
Katika ujumbe wa sauti uliochapishwa katika mitandao Hamza bin Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua babake 2011 huko Pakistan.
Ujumbe huo wa dakika 21 wenye kichwa...
SHARE!
PICHA 3: HEBU JIONEE VAZI HILI ALILOVAA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE SHOW ALIOIFANYA HUKO MBEYA HIVI KARIBUNI!!UTASTAAJABU SANA!!!;
Published Under
TOP STORIES
...
SHARE!
Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi asimamishwa kazi kwa kufanya malipo hewa.
Published Under
KITAIFA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Frank Charles Msaki kutokana na makosa ya kufanya malipo hewa yaani kulipa posho ya chakula kwa watu ambao si askari.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizarani hapo ambayo nakala tumeipata, Mhasibu Mkuu huyo Bw. Frank Msaki anasimamishwa kazi kwa kufanya...
SHARE!
NJIA YA MWANAMKE YA KUPUNGUZA UNENE WA TUMBO NA KUWA FLATI KABISA
Published Under
AFYA
Tumia salad yenye mchanganyiko wa nyanya, pilipili. Chkula chenye protini nyingi kinasaidia kuondoa njaa hivyo kupunguza mafuta mwilini. LEO NI MAZOEZI YA YOGA. Leo tunaendelea na mfululizo wa mazoezi ambayo yatakufanya wewe mwanadada uongeze urembo wako kwa kuondokana na tumbo kubwa lililojaa nyama-uzembe na mafuta ili uwe na tumbo flat. Haina haja ya kutumia makemikali ambayo...
SHARE!
Njia 12 za mazoezi ya kupunguza tumbo kwa wanawake
Published Under
AFYA
Image: shutterstock
Flab around the belly! This is one thing that can be source of constant embarrassment no matter what’s your age. Nobody wants their tummy protruding out and making their clothes fit them weird. And it’s the hardest part of the body to lose weight from! Here are the answers on how to reduce belly. But before we tell you how, let us tell you why.Why do you get belly fat?There...
SHARE!
Namna rahisi na salama ya kupunguza tumbo.
Published Under
AFYA

Wengi wa wasomaji wamemtumia meseji za kutaka kujua njia ya kupunguza mafuta tumboni, wanawake kwa wanaume walituma maswali kwa wingi. Njia iliyosalama ya kupunguza mafuta katika tumbo au kupunguza tumbo kubwa ni ile ya kupangilia chakula na kufanya mazoezi.
Nilipata nafasi wiki hii ya kuzungumza na daktari mmoja katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambaye sitamtaja kwa jina na alikuwa na...
SHARE!
ENDELEA NA SEHEMU YA PILI YA STORY HII YA UTAMU WA CHUMBA CHA SHEMEJI ===2
Published Under
LOVE STORY

Episode 1Nilifungua hiyo sms ili kuisoma nijue kilichomo,*uko wapi izzochapa?*Nilimjibu, *niko kazini ila natoka mda siyo mrefu*,*sawa tuwasiliane ukitoka*,*sawa*,Baada ya mawasiliano nilimgeukia VICKY,"Vicky mpenzi vipi?"Safi ila niko hoi sana,,"Lala hivi VICKY huo mguu mmoja ukunje na huo mwingine unyooshe alafu ulalie mbavu za upande wa kushoto,Alilala kama nilivyomuelekeza alilala kwa ubavu...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)