
Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na CEO wa EFM, Dj Majay, wameamua kuuonyesha umma ni jinsi gani wako karibu zaidi.
Lulu na Majay
Wawili hao ambao kwa sasa mahusiano yao yako wazi zaidi, wamekuwa wakishare picha mbalimbali wakiwa pamoja katika mitandao ya kijamii na kuonyesha jinsi wanapendana.
Kupitia instagram, Lulu alishare picha akiwa na Majay na kuandika:
Baba Na Mama...