KINGAZI BLOG: 08/25/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, August 25, 2016

Barcelona yasajili kipa tokaa Ajax

 Barcelona imekamilisha usajili wa kipa Jasper Cillessen kutoka Ajax ya Uholanzi. Kipa huyo anatua Barcelona kuchukua nafasi ya Claudio Bravo ambaye anajiunga na Man City. Barcelona imemwaga pauni million 12 kumpata kipa huyo kinda ambaye anaelezwa kuwa ana kipaji has...

ROMMY JONES AFUNGUKA MENGI KUHUSU DIAMOND PLATINUMS KUTOKUFIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE

BAADA ya hivi karibuni ndugu wa Mwanamuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kuhudhuriwa na mastaa kibao isipokuwa msanii huyo na kudaiwa kuwa wana bifu, Romy Jones ‘DJ RJ’ ameibuka na kueleza kilichotokea. Tetesi zilizagaa kwamba Diamond na Romy wana bifu ndiyo maana hakuonekana kwenye sherehe hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Next Door jijini Dar huku mastaa...

Wanafunzi Wa Ualimu Waliokosa Chuo Cha UDOM Wapangiwa Vyuo Vya Ualimu Vya Serikali.

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewapangia vyuo wanafunzi   wa programu maalum ya ualimu chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambao hawakupata nafasi ya vyuo katika awamu ya kwanza, walioagizwa kuomba mafunzo kulingana na sifa zao kupitia Baraza la Taifa la Mafunzo ya Ufundi (NACTE). Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Leonard Akwilapo leo, jijini Dar...
 

Gallery

Popular Posts

About Us