KINGAZI BLOG: 06/12/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, June 12, 2016

Maaaaaajabu!!!!!Mama ajifungua Watoto Mapacha kutoka kwa wanaume wawili tofauti.

Katika hali ya kushangaza, madaktari wamebaini kuwa mwanamke mmoja Jijini Hanoi, Vietnam amejifungua watoto mapacha ambapo alipata ujauzito wa pacha hao kutoka kwa wanaume wawili kwa nyakati tofauti. Kwa mujibu wa CNN, familia ya mapacha hao ilianza kuwatilia shaka watoto hao kutokana na kutofanana kwao kwa kiwango kikubwa kama watoto wa familia mbili tofauti na ndipo ikawalazimu kuwaona wataalam...

Polisi wapiga Marufuku Mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower DSM leo jumapili

Tunasikitika kuwataarifu Wananchi Na Umma Kwa Ujumla kuwa Polisi katika Mkoa wa Dar es Salaam wametuzuia kufanya Kongamano letu lililolenga kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2016/2017. Polisi wamezingira eneo la ukumbi wa Kongamano (LAPF Millenium Towers) tangu saa 12.00 asubuhi. Viongozi Wakuu wa chama wanakutana na waandishi wa Habari wa Makao Makuu ya Chama Kijitonyama kuanzia saa 7.30 Mchana...

HEALTH TIPS Natural Ways to Help Fight Lung Cancer

Lung cancer generally evolved in the cells lining bronchi, or even the bronchial tubes which help deliver oxygen to your lungs and bloodstream...

'ISLAMIC STATE :German citizens who fought with 'IS' under surveillance in Euro 2016

Some 500 Germans who have fought with terrorist group "Islamic State" are under surveillance during the Euro 2016 soccer championship. Germany kicks off its Group C campaign against Ukraine in Lille on Sunday. German Interior Minister Thomas de Maiziere told the "Bild am Sonntag" newspaper that security forces have received many tip-offs regarding possible attacks at Euro 2016, bu...

Maajabu Aishi siku 555 bila moyo wake, akitumia moyo feki

Kwa wapita njia , kijana huyo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Michigan, alionekana ni mtu mzima akifurahia kuwapeleka watoto wake watatu katika park, akiwa na mdogo wake Dominique. Kitu ambacho hakikuwa cha kawaida ni begi lake la kijivu alilolibeba mgongoni muda wote, ndilo lililokuwa likimuweka hai. Ndani ya begi hilo kulikuwa na mashine (power source) ya kusaidia kusukuma damu kwenye moyo huo...

Watanzania Watakiwa Kushirikiana Kupiga Vita Matukio Ya Mauaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania, viongozi wa dini zote kushirikiana kwa pamoja kupiga vita matukio maovu ya mauaji yaliyotokea katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatarajia hali ya amani, usalama na utulivu inaendelea kuwepo nchini, hivyo wananchi hawana budi kushirikiana na kushikamana na Serikali katika kuhakikisha matendo maovu hayatokei katika maeneo yao. Waziri Mkuu...
 

Gallery

Popular Posts

About Us