
MUFTI mkuu wa Tanzania ametangaza rasmi kwamba kesho ni sikukuu ya Eid el fitri kwa Mujibu wa dini ya kiislamu,hii imekuja baada ya mwezi kuandama na kuonekana katika Maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, na hivyo kuhitimisha mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu.
>>>UONGOZI WA KINGAZI MEDIA GROUP TUNAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YA EID EL FITRI MSHEREHEKEE...