KINGAZI BLOG: 05/21/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, May 21, 2016

Haya Hapa Majina Ya Wanafunzi 1500 Kidato Cha 6 Waliochaguliwa JKT Kambi ya Rwamkoma - Mara

1 NYANKUMBU SECONDARY SCHOOL F ABIGAEL G KISAKA 2 MWANZA SECONDARY SCHOOL F ABIGAEL NICOLOUS GELVAS 3 JANGWANI SECONDARY SCHOOL F ABIGAEL R SUNGI 4 TINDE GIRLS HIGH SCHOOL F ABIGAEL V KWAI 5 DODOMA SECONDARY SCHOOL F ABIGAELI JOSHUA MAGERE 6 DAKAWA HIGH SCHOOL F ABIJAI MOHAMED ABDALLAH 7 PATRICK MISSION SECONDARY SCHOOL F ABIJEL S MASANIKA 8 KONDOA GIRLS SECONDARY SCHOOL F ABIJELI AMOSI LWALI 9...

JESHI LA KUJENGA TAIFA LATANGAZA MAJINA YA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA WATAKAOJIUNGA NA JESHI HILO MWAKA 2016.

 BOFYA HAPO CHINI KUONA MAJINA>> Jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu watakaojiunga na mafunzo ya jeshi kwa mujibu wa sheria.Katika taarifa ya jeshi hilo kwa umma jeshi hilo limesema vijana wamepangiwa katika makambi mbalimbali ya jeshi  yaliyopo katika mikoa mbalimbali hapa nchini na kutoa maagizo mbalimbali BOFYA HAPA...

BREAKING NEWS: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia ghafla.

Aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la dar Wilson kabwe  amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu. Inasemekana kwamba tangu siku ile atumbuliwe jipu na Rais Magufuli pale kwenye uzinduzi wa Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alipata  (mshtuko) mkubwa sana na kupelekwa  India kupatiwa matibabu.ndipo umauti ukamfika akiwa anaendelea kupatiwa matibab...

Wahitimu wa vyuo vya Elimu ya juu waanza kulipa mikopo yao.

JUMLA ya wadaiwa wapya 21,721 wa mikopo ya elimu ya juu wamejitokeza kwa lengo la kuanza kulipa madeni yao kufuatia agizo la siku 60 lililotolewa na Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HESLB)…anaandika Aisha Amran. Robert Kibona Mkurungezi wa urejeshaji mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa wa elimu ya juu(HESLB) ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es...

Hii ndio kauli ya Harmonize kuhusi kumvisha pete Jackline Wolper.

Hajamvisha mtu pete ya uchumba na kudai mpenzi wake mpya Jackline Wolper amemkuta akiwa hana mtu na ndiyo maana wakaweza kuanzisha mahusiano. Harmonize amesema hayo kupitia kipindi cha Enews ambapo alikuwa anaelezea mambo mbalimbali kuhusu maisha yake mapya katika mahusiano na Wolper ambaye yeye mwenyewe amekiri kuwa ni mtu aliyeanzisha naye mahusiano hivi karibuni na kusema tuwe na subira kila...

BREAKING NEWS:RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH CHARLES KITWANGA.

Huu hapa waraka alioutoa Rais  Mh.John Magufuli kuhusu kutengua uteuzi wa waziri wa mambo ya ndani mheshimiwa Charles Kitwanga.Utenguzi huo umekija baada ya kuonekana bungeni akijibu swali huku akiwa amelewa...

Vyakula 7 vizuri kwa kuongeza nguvu za kiume

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa...
 

Gallery

Popular Posts

About Us