
'
Leo Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya kikao chake katika Hoteli ya Bahari Beach Ledger Plaza.
Mojawapo ya Maazimio ya Kikao hicho ni kuundwa kwa kile walichokiita Umoja Wa Kupinga Udikteta Tanzania(UKUTA). Tuweke Kumbukumbu sahihi, Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoketi siyo Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Hii ina maana kwamba maazimio ya kuundwa kwa UKUTA ni matakwa ya Chama kimoja yaani CHADEMA....