Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto atafahamu leo iwapo kesi inayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) itatupiliwa mbali.
Tuesday, April 05, 2016
Rais wa ZANZIBAR azindua Baraza la Wawakilishi
Published Under
ZANZIBAR
Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN amehutubia baraza la wawakilishi na kueleza mikakati ya serikali yake
Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN
Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN amehutubia baraza la wawakilishi na kueleza mikakati ya serikali yake katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Miongoni mwa mambo ambayo Dkt.SHEIN ameyataja kuwa ni kipaumbele cha serikali yake ni kuwekeza katika sekta ya viwanda na kutafuta masoko kwa mazao ya bahari huku akiahidi kuwachukulia hatua wafanyakazi wazembe.
Akizungumzia suala la uchumi Rais wa ZANZIBAR amesema serikali yake itahakikisha uchumi unakua kwa kuwekeza katika sekta ya viwanda na kutafuta masoko ya mazao ya bahari.
Amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakili kushirikiana na viongozi mbalimbali katika maeneo yao ili kutatua migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.
Dkt SHEIN amesema muswada ya sheria kuhusu rasilimali ya mafuta na gesi uko tayari na unatarajiwa kuwasilishwa katika baraza hilo kwa ajili ya majadiliano.

SHARE!
USHIRIKINA;.Walimu Walazwa UCHI na Kuchapwa Viboko
Published Under
KITAIFA
Ofisi ya Elimu wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani imelazimika kuwapa likizo walimu saba wa Shule ya Msingi Mingwata ili kuwajenga kisaikolojia
SHARE!
HUYU NDIYE MSICHANA AMBAYE DIAMOND HUMFIKIRIA AKITAKA KUTUNGA WIMBO WOWOTE
Published Under
STORI KALI
Diamond Platnumz ni bingwa wa kuandika nyimbo za kuachwa, kuumizwa na kutendwa kimapenzi.
SHARE!
App ya simu ya Taliban yatolewa sokoni
Published Under
KIMATAIFA
Alemarah, programu inayotumiwa katika simu za Android iliyoundwa na kundi la wapiganaji wa Taliban imeondolewa kwenye
SHARE!
Magufuli aokoa bil 2/- sherehe za Muungano
Published Under
KITAIFA
RAIS John Magufuli ameahirisha shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano na hivyo kuwezesha kuokoa zaidi ya Sh bilioni mbili, alizoagiza zikaanzishe
SHARE!
HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO JUMANNE,APRIL 05,2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,UDAKU,MICHEZO NA STORY NYINGINE KALI
Published Under
MAGAZETINI LEO
SHARE!
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU WAHISANI KUENDELEA KUTOA MISAADA KWA WATANZANIA.
Published Under
KITAIFA
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)