...
Wednesday, March 23, 2016
Kutoka Ofisi ya Bunge:Majina ya Wabunge Waliobadilishwa Kwenye Kamati za Kudumu za Bunge na Spika wa Bunge Job Ndugai
Published Under
KITAIFA
SHARE!
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOHAMISHIWA VYUO VINGINE KUTOKA ST.JOSEPH UNIVERSITY
Published Under
MUHIMU
CLICK HERE TO WATCH -AddiFonal List of Transferred Students from SJUIT to other UniversiFes as at 22nd March 20...
SHARE!
BUNGE LAANZA KUCHAFUKA
Published Under
KITAIFA
SIKU moja baada ya baadhi ya Kamati za Kudumu za Bunge kuhusishwa na
tuhuma ya kashfa ya rushwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya
mabadiliko ya baadhi ya wajumbe wa kamati hizo ili kuzingatia mahitaji
mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo Januari
mwaka hu...
SHARE!
Chadema Yashinda kwa kishindo Umeya Dar
Published Under
KITAIFA
Meya
mpya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (katikati) akipongezwa na
wafuasi wa Ukawa baada ya kushinda kwenye uchaguzi wa Meya uliofanyika
katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam jana.
HATIMAYE kitendawili cha nani kuliongoza Jiji la Dar es Salaam
kimeteguliwa jana, baada ya wajumbe 158 kupiga kura ya kumchagua meya wa
jiji hilo na kumchagua...
SHARE!
CUF IMESEMA HAIYATAMBUI MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR,HAITAMBUI USHINDI WA DR SHEIN,TAMKO LAO LIKO HAPA
Published Under
ZANZIBAR
...
SHARE!
Haya hapa Magazeti ya Tanzania leo Jumatano ya March 23 2016 kwenye,habari za Kitaifa,Kimataifa, Udaku, na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO
March 23 2016 nakuletea habari mbalimbali zilizoandikwa kwenye magazeti ya leo kwenye habari za kitaifa kimataifa,michezo bila kusahau udaku na stori nyingine kali.Pia usisahau kulike page yetu ya facebook/Tanzaniampya news blog na kutufollow kwenye twitter@TZmpyasasa.
...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)