KINGAZI BLOG: 06/08/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, June 08, 2016

NAFASI YA KAZI TANZANIAUNITED NATIONS ASSOCISTION OF TANZANIA MWISHO TAREHE 24 JUNE 2016

1. INTRODUCTION The United Nations Association of Tanzania (aka UNA Tanzania) is registered since 1964, as a non Governmental and non-profit Organization devoted entirely to supporting the purposes and principles of the United Nations Charter, and to the promotion of public awareness and understanding of the activities of the United Nations and its agencies. Generally, our aim is to bring the United...

Mastaa hawa waliviona vifo vyao

KIFO ni fumbo kubwa katika maisha ya mwanadamu kwani huwa hakijulikana siku wala saa kitakapotokea. Wapo mastaa ambao enzi za uhai wao walijikuta wakiimba au kufanya mambo yenye maneno yaliyoashiria kuwa walikiona kifo chao kwamba kiko karibu. Katika makala haya tunakuletea orodha ya mastaa mbalimbali wa hapa nchini na nje ya nchi ambao wamefariki dunia muda mfupi au siku chache baada ya kufanya...

Nyani azima umeme Kenya

Kampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa hapo jana. Mara kwa mara umeme hupotea nchini Kenya kwa sababu moja au nyengine, sawa tu na mataifa yote barani Afrika. Hata hivyo sababu walioitoa KENGEN kwa ukosefu huo wa umeme Kwa takriban saa nne kote nchini humo ndio imewaacha wengi wamepigwa na butwaa! Amini usiamini,...

Nisha awahofia wakware kwa mwanaye

MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefungukia hofu aliyonayo kwa mwanaye, Ipsium kutokana na wanaume wakware kuzidi kuongezeka kila siku.  Nisha alisema hata akiwa na ‘boyfriend’ wake, huwa hapendi amzoee mwanaye huyo, kwani anamlea katika maadili ya kidini zaidi na anamshukuru Mungu anazingatia vile anavyotaka. “Mwanangu yuko darasa la saba na analala shuleni...

SNURA AFUNGUKA MAJANGA ILIVYOMSABABISHIA KUTAPELIWA

Stori: Gladness Mallya STAA wa Muziki wa Kizazi Kipya, Snura Mushi ambaye alipata kiki ya aina yake kwa kibao chake cha Majanga, amefunguka kuwa licha ya kupata shoo nyingi kupitia ngoma hiyo, lakini pia alipata majanga kwa kutapeliwa mara kadhaa. Akipiga stori na Risasi Vibes, Snura alisema promota mmoja alimpeleka kufanya shoo mkoani Kilimanjaro na Mererani Arusha, lakini baada ya kuwa ameshafanya...

Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Kuanzia Leo

Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook jana June 07 2016 ilishindwa kuendelea kutokana na upande wa Jamhuri kutokamilisha ushahidi na kuiomba Mahakama kuahirisha shauri hilo hadi  leo June 08 2016. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Augustine Rwezire wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha alikubali ombi hilo na kuahirisha kesi...

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHIANDIKA LEO JUMATANO JUNI 8 2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA NA MICHEZO

Karibu,tunakuletea habari zilizopo kwenye magazeti ya Leo ili ujue matukio mbalimbali yaliyotokea duniani,usisaha kukaa karibu nasi kupitia Facebook/tanzaniampyasasa blog na twitter@tanzaniampyasasa. ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us