Aliyekuwa waziri mkuu katika serikali ya awamu ya kwanza Hayati ndg.Edward Moringe Sokoine.
Ni wazi kwamba kila siku zinavyozidi kwenda utendaji wa kazi za Rais John pombe Magufuli unazi...
Tuesday, April 12, 2016
Maduka zaidi ya 150 yaungua moto
Published Under
MAJANGA
Zaidi ya maduka 150 yameteketea kwa moto
Moto mkubwa umezuka
na kuteketeza vibanda vya maduka zaidi ya 150 katika mji wa Kayanga
wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera magharibi mwa Tanzania. Moto huo ambao
ulianza Jumatatu majira ya sa 2:00 usiku umeteketeza mali na bidhaa za
aina mbalimbali kama mchele, sukari, nguo, simu, pamoja na bidhaa
...
SHARE!
Alichokisema ANNE KILANGO MALECELA baada ya kufutwa kazi na JPM.
Published Under
SIASA
Leo taarifa ambayo imetrend vya kutosha kwa muda mfupi, ni kuhusu Rais
wa J.M wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa
mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mama Anne Kilango Malecela katika nafasi hiy...
SHARE!
VIDEO:Tazama hapa Rais Magufuli Akiongea wakati akimfuta kazi ANNE KILANGO MALECELA
Published Under
STORI KALI
Rais wa tanzania,John Pombe Magufuli amemfuta kazi Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango malecela,Baada ya kudaiwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusia...
SHARE!
Rais Magufuli: Baada ya Anne Kilango, Sasa ni zamu Mawaziri na Makatibu Wakuu.. Atakayeshindwa lazima aache Kazi mara moja
Published Under
KITAIFA
Dakika chache baada ya kutangaza kumuondoa Anne Kilango Malecela katika
nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Shinyanga siku 22 tu baada ya kumuapisha, Rais
John Magufuli ametoa onyo kwa Mawaziri na Makatibu wakuu aliowateua...
SHARE!
Navy Kenzo wala shavu la ubalozi Airtel Tanzania
Published Under
STORI KALI

Uwekezaji wao sasa umeanza kulipa. Kundi la Navy Kenzo limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airte...
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 12 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO

April 12 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa
Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani..
usiache kukaa
karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasa blog na twitter/tanzaniampyasas...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)