Tuesday, April 19, 2016
CHUKUA DAKIKA TATU ZA KUMTAZAMA KIBOKO YA MASOGANGE NA VERA SIDIKA HII HAPA
GIGY MONEY AMTUKANA LIVE LIVE NAY WA MITEGO.
Mwanamuziki Diamond Platnumz Atangaza Nafasi za Kazi....
DOWNLOAD APP YA TANZANIAMPYASASA.BOFYA HAPA
Harmonize 'Sijamtukana DJ K Flip' , Hiki Ndicho Kilichotokea Hadi Kuzima Mziki Katikati ya Show
DOWNLOAD APP YA TANZANIAMPYASASA HAPA BOFYA HAPA
Harmonize alisema
“Kwanza nategemea sana maDJ kwenye kazi yangu na siwezi fanya kitendo kama hicho, nilikuwa nafanya show na nikawaambia watu kuhusu ujio wa Diamond Mwanza hivi karibuni na kuwataka waimbe na mimi akapela, nikamwambia DJ azime mziki sababu utazingua, DJ hakunielewa akakasirika na kushuka chini, ila nilimfuata na kuongea naye na show ikaendelea”.
Aidha Harmonize amemalizia kwa kusema kuwa kwa sasa matatizo yake DJ K Flip wameyamaliza na wapo poa.
Picha 25: Ilivyokuwa uzinduzi wa daraja la kigamboni Dar es Salaam
SOURCE;MILLARDAYO.COM
KUTANA NA MWANAMKE ALIYEAMUA KUJIOA MWENYEWE BAADA YA KUKOSA MCHUMBA WA KUMUOA.
YASMIN ELEBY AKIWA NA FURAHA SIKU YA HARUSI YAKE (kulia) AKIKATA KEKI.
,Mwanamke mmoja anayeitwa yasmin Eleby hakubahatika kupata mchumba wa kumuoa ambaye alihitaji kuwa mume wake mpaka alipofikisha umri wa miaka arobaini.ndipo alipoamua kufanya jambo lililowashangaza wengi pale alipoamua kujioa mwenyewe.
Breaking News: Rais Magufuli Amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe
Rais Magufuli amemsimamisha kazi mchana huu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe kutokana na ufisadi wa kutisha katika utekelezwaji wa mikataba mitatu, inayohusu maeneo ya ukusanyaji mapato ya Stendi Kuu ya Mabasi Yaendayo Mikoani ya Ubungo na kodi ya uegeshaji magari katikati ya mji na kuisababishia serikali hasara ya bilioni 3.
PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani
Mwanaume Shoga Aamua Kukiri Redioni Kufanya Biashara Hiyo...Aangua Kilio na Kuelezea A to Z Jinsi Alivyoanza....Ataka Kuacha
.
Morogoro: My confession! Katika hali isiyo ya kawaida, kijana Karimu Said (25) almaarufu Anti Karimu aliyekiri kufanya biashara haramu ya kuuza mwili (ushoga), ameangua kilio redioni wakati akiutangazia umma wa Watanzania kuachana na dhambi hiyo aliyodumu nayo kwa miaka saba.
Ilikuwa Alhamisi iliyopita, Karimu alitinga kwenye Kipindi cha Mcharuko wa Pwani cha Radio Planet FM kinachoendeshwa na mtangazaji mahiri, Warda Makongwa akishirikiana na Farham Abraham.
Lengo la Karimu lilikuwa ni kutubu dhambi yake hiyo sambamba na kumuomba msamaha Mwenyezi Mungu na Watanzania kwa jumla.
Akiwa hewani laivu kwenye kipindi hicho na watangazaji hao na mwandishi wetu, Karimu alisimulia kilichomwingiza kwenye ushoga kuwa ni umaskini uliotokana na vifo vya wazazi wake.
“Baada ya wazazi wangu kufariki dunia na mimi kumaliza darasa la saba hapa Morogoro, nilikwenda Dar kutafuta kazi. Nilipofika nilipata kazi ya ndani (house boy) kwa bosi mmoja.
“Nikiwa hapo, bosi wangu wa kike na wanaye walikwenda likizo kijijini, mimi nilibaki na bosi wa kiume.
“Siku moja huyo mwanaume alinirubuni akanipeleka beach (ufukweni) na baadaye Mlimani City ambako alinilazimisha kunywa pombe.
“Tuliporudi nyumbani aliniingilia, tangu hapo kila siku akawa akinifanyia hivyo. Mkewe aliporudi alinikanya nisimwambie, nikajikuta namuonea wivu huyo mwanaume hata akiwa na mkewe.
“Hali hiyo ilisababisha mkewe kujua na kunitimua,” alisema Karimu.
Alisema kuwa baada ya kutimuliwa alirejea kwao Morogoro na kuendelea na ushoga akijiuza kwenye madanguro yaliyopo ltingi na Kahumba mjini hapa.
Alipoulizwa wateja wake wakubwa ni watu gani, Karimu alifunguka kuwa ni waume za watu wakiwemo baadhi ya vigogo wa serikali.
Mwandishi wetu alipomtaka kuelezea al sema hivi
Changamoto ni nyingi zikiwemo za kupigwa, kupata bwana akakulipa elfu arobaini lakini ukifika geto kwake, ukishamhudumia, anakugeuka na kukunyang’anya fedha.
“Nimeyatafakari matukio yote hayo, ndipo nikaungana na rafiki yangu aliyenipeleka kanisani ambako niliombewa hadi nikaanguka, nikapoteza fahamu, nilipozinduka nikajiona niko Keene ulimwengu mwingine na kujutia dhambi hiyo ya ushonga, hivyo naomba Mungu na Watanzania wanisamehe,” alisema Karimu huku akilia.
OMMY DIMPOZ AJIKITA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU.
Zamani ilijulikana kama kilimo ni shughuli ya watu wa hali ya chini au watu maalumu tu. Hii imekuwa tofauti kwa mwanamuziki Ommy dimpoz ambaye kwa sasa ameamua kujikita katika kilimo cha mazao mbalimbali, hii ilidhihirishwa juzi baadfa ya kupiga picha akiwa kwenye shamba l;ake huku akiweka Emoji za za matunda kwenye picha hizo alizozituma kwenye Mtandao wa Instagramu.Wasanii wengine wanaojihusiha na kilimo ni Ditto,Masanja mkandamizaji na pia Juma Nature.
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 19 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
April 19 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasablog na twitter@tanzaniampyasasa.