KINGAZI BLOG: 04/08/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 08, 2016

Ujumbe mzito wakutwa kaburini kwa Kanumba!

Wakati mama yake, Flora Mtegoa (pichani), baadhi ya wasanii na mashabiki wake wakikumbuka miaka minne ya kifo cha aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, kumezuka sintofahamu ya kukutwa ujumbe mzito wa kimapenzi kaburini kwa msanii huyo ambao...

Yanga kutesa nyasi na Al Ahly jijini Dar

Yanga watakutana na Al Ahly uwanja wa taifa Dar es Salaam Klabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF C...

Papa Francis kutoa tamko muhimu kuhusu ndoa

Image copyrightAFPImage captionPapa Francis amekuwa akitofautiana na wahafidhina kanisa Katoliki Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo anatarajiwa kutangaza wazi msimamo wake kuhusu ndoa, njia za kupanga uzazi na malezi ya watoto. Tangazo hilo linatarajiwa kuwa kwenye ripoti ya mikutano miwili mikuu ya kutoa maamuzi kuhusu sera za kanisa hilo, maarufu kama sinodi...

Binti mlemavu afungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 16,Aeleza mazito.!

BINTI MWENYE ULEMAVU AFUNGIWA NDANI MIAKA 16 Vitendo vya kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu limeendelea kushamiri kwenye maeneo mengi nchini tukio la sasa likitokea katika kijiji cha njani wilayani Arumeru ambapo mtoto wa kike mweye ulemavu wa viungo amebainika kufungiwa ndani kwa kipindi cha umri wake wote wa miaka kumi na sita. Mtoto huyo Wine Ruth anayelelewa na bibi...

Lowassa amponda Rais Magufuli.....Afunguka mambo matano mazito muhimu

  Siku 155 baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi huo, Edward Lowassa ametaja mambo matano yanayomfanya autilie shaka mustakabali wa Taifa chini ya uongozi wa Rais huyo wa Awamu ya Tano....

MSANII MAARUFU AFARIKI AKIIMBA JUKWAANI

Huzuni na mshangao umeghubika Indonesia baada ya muimbaji maarufu Irma Bule, aliyekuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kuanguka na kufariki dunia jukwaan...

Maandazi yamwokoa kifo cha kifusi

Nyumba za wakazi wa eneo la Mji Mpya, Mtaa wa Ukwamani, Kawe, Dar es Salaam jirani na kulipotokea maafa ya watu watano kufukiwa na kifusi zikiwa hatarini pia kufukiwa na kifusi cha mwamba huu (kulia) ambao tayari umeshaanza kuweka ufa, jana...

Bajeti ya Tanzania ya mwaka 2016/17 kuanza kuchambuliwa leo

Mkuu wa Kitengo cha Habari,Elimu na Mawasilianocha Bunge, OwenMwandumbya KAMATI za Kudumu za Kisekta leo zinatarajia kuanza kuchambua taarifa za utekelezaji wa Bajeti za Wizara zinazosimamiwa na kamati hizo. Hatua hiyo inafanywa kwa mujibu wa Kanuni ya 98 (2) ya Kanuni za Kudumu...

Magazeti ya tanzania yaalichoandika leo ijumaa ya April 8 kwenye habariza kitaifa,kimataifa,udaku na michez

April 8 2016  naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysas...

PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbar...

MEEK MILL - TRAP VIBES(AUDIO

...

BENNY BANASSI FT CHRIS BROWN - PARADISE(OFFICIAL VIDEO)

...

Iyanya - Type Of Woman [Official Video]

>>>>WATCH VIDEO HERE<<<<<< ;"...

TANZIA:MBUNGE WA CHADEMA AFARIKI DUNIA

Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki dunia leo kwa ugonjwa wa kansa. Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es Salaa...

Hiki ndicho alichokiandika Lulu miaka 4 ya kifo cha Kanumba

Lulu Elizabeth Michae...

Rais Magufuli kaeleza kwanini hapendi sana kusafiri nje ya nchi -

Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa Rwanda ameongea pia kuhusu kwanini hapendi kusafiri nje ya nchi na toka achaguliwe October 2015,...
 

Gallery

Popular Posts

About Us