
Msanii wa muziki, Gigy Money anatarajia kuachia video yake
mpya ya wimbo ‘Tikisa Supu’, ambapo amewataadharisha watoto kukaa mbali
na kazi hiyo.
Muimbaji huyo ambaye pia ni video queen, ameiambia Bongo5 Ijumaa hii
kuwa ameamua kuachia wimbo ‘Tikisa Supu’ baada ya kuona tayari kuna watu
wengi ameshaimba nyimbo za kutikisa sehemu za miili yao.
“Unaniuliza...