Saturday, June 25, 2016
MAELEKEZO YA JINSI YA KUPATA MKOPO WA ELIMU YA JUU MWAKA 2016/2017
Published Under
ELIMU
GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2016/2017 ACADEMIC YEAR
These Guidelines and Criteria are issued to prospective loan applicants and the public at large to guide the whole process of application and issuance of loans and grants for the academic year 2016/2017.
SHARE!
Maombi Ya Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu 2016/2017
Published Under
ELIMU
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Inapenda kutoa taarifa kwa Umma na wadau wake wote kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya Mikopo kwa mwaka wa masomo 2016 /2017 kuanzia tarehe 27 Juni 2016 hadi tarehe 31 Julai 2016.
Katika kipindi hicho waombaji wa mikopo watarajiwa wanapaswa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku uliopo kwenye tovuti ya Bodi www.heslb.go.tz ili kufahamu sifa za mwombaji na taratibu kufuata kabla ya kuomba mikopo kwa njia ya mtandao.
Utoaji wa Mikopo unaongozwa na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu Na. 9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa) hususani vifungu vyake vya 16 na 17.
Kwa taarifa hii, waombaji wote wa mikopo wanatakiwa kusoma mwongozo huo kabla ya kujaza maombi ya mikopo na wazingatie kuwa tarehe ya mwisho ya kuomba mikopo ni Julai 31, 2016.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAREHE 24 JUNI 2016.
SHARE!
HAYA HAPA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA UFUNDI MWAKA 2016
Published Under
ELIMU
Serikali kupitia Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (FORM V ) na Mafunzo ya ufundi katika vyuo mbalimbali hapa nchini >>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA YAWALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA MAFUNZO YA UFUNDI 2016<<<<
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)