KINGAZI BLOG: 04/23/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 23, 2016

VIDEO: Mafikizolo – “Colors Of Africa” ft. Diamond Platnumz & DJ Maphorisa

Fresh off the stables of South African group, Mafikizolo. Here is the highly captivating visuals to their previously released tune titled “Colors of Africa”. The record features fellow South African, DJ Maphorisaand Tanzanian act, Diamond Platnumz. BOFYA HAPA KUONA VIDEO YA DIAMOND FT MAFIKIZOLO-COLOUR OF AFRICA. ...

Watch & Download (Official Video) Lady Jaydee - Ndi Ndi Ndi

Mwanadada mkongwe katika muziki wa bongofleva lady jay dee ameachia video ya wimbo wake Unaotamba uitwao  NDI NDI NDI.Video hiyo ameofanyia south afrika.bofya hapa chini kudownload video hiyo kali ya mwaka.USIIKOSE   WATCH VIDEO HERE DOWNLOAD MP4...

NAFASI ZA KAZI TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 10 MAY 2016

1. Axle Load Supervisor 2. Weighbridge Operators 3. Weighbridge Collecto...

Uganda Yatangaza Rasmi Kutumia Bandari ya Tanga nchini Tanzania kusafirishia Mafuta Ghafi Yake

Hatimaye Serikali ya Jamhuri ya Uganda imetangaza rasmi uamuzi wake wa kutumia Bandari ya Tanga nchini Tanzania kusafirishia mafuta ghafi yake. Uamuzi huo umetangazwa na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda wakati wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Ushoroba wa Kaskazini uliomalizika Jijini Kampala Ugand...

Mbowe ataja sababu 3 za UKAWA kususia Kikao cha bunge jana.

Kambi ya Upinzani bungeni jana imesusia kuwasilisha na kujadili hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu, huku kiongozi wake, Freeman Mbowe akitoka nje ya ukumbi huo, akitaja kasoro tatu zilizosababisha wachukue uamuzi huo. Staili ya kususia kujadili hotuba hiyo ya bajeti ni mpya kwa kambi hiyo ya upinzani baada ya kutumia njia ya kutoka nje ya ukumbi...

Mtoto Mtanzania wa miaka 16 alivyoongea kwa kujiamini mbele ya viongozi wa dunia umoja wa mataifa

Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa na hofu japo anaongea kwenye jukwaa ambalo linatazamwa na viongozi mbalimbali. Mataifa zaidi ya 150 yalitia saini makubaliano ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo Marekani...

Ukimya wangu umefanya nijipange zaidi - Marlaw

Msanii wa bongo fleva Lawrence Malima maarufu kama Marlaw ambaye alitamba na nyimbo nyingi kipindi cha nyuma kama Rita, Missing my baby, Bembeleza na nyinginezo amesema kuwa ukimya wake umempa nafasi nzuri ya kujipanga na kufanya kazi nzuri zaidi. Msanii wa bongo fleva Raulence Malima, Marlaw Marlaw ambaye aliweza kutambulisha style ya kiduku kwa...

Gabo Zigamba ndiyo mrithi wa Kanumba?

Inawezekana si mara yako ya kwanza kusikia jina hili la Gabo Zigamba katika tasnia ya filamu nchini, wazazi wake walimpa jina la Salim Ahmed. Msanii Gabo Zigamba Muigizaji huyu kadili siku zinavyozidi kwenda anazidi kupenya masikioni mwa watu wengi na kuzidi kuonyesha uwezo wake katika uigizaji kiasi cha baadhi ya mashabiki kudai kuwa huyu ndiye...

Pigo Jingine Kwa Waliotumbuliwa Na Wanaosubiri Kutumbuliwa Latangazwa,Mahakama ya Mafisadi Rasmi Mwezi Julai

WAKATI Rais John Magufuli akisisitiza kuwa utumbuaji majipu utaendelea kufanyika hadharani bila kificho, pigo jingine kwa waliotumbuliwa na wanaosubiri kutumbuliwa, limetangazwa. Akisoma Mwelekeo wa Kazi za Serikali bungeni jana, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mbali na kusisitiza kuendelea kushughulikia watendaji wazembe, wabadhirifu na wavivu,...

Rais Magufuli Awageukia Watumishi HEWA Ndani ya CCM

Rais John Magufuli juzi aliwazungumzia makada walioihama CCM wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita, alipoeleza kuwa kuondoka kwao pengine kulimsaidia kupata ushindi. Bila kutaja majina ya waliokihama chama, Magufuli alisema ni vyema wana CCM wakasahau tofauti zilizojitokeza wakati wa uchaguzi huo na kuganga yajayo. Rais alisema hayo kwenye mkutano na viongozi wa CCM...

Adele Ndiye Mwanamuziki wa Kike Tajiri Zaidi Uingereza

KULINGANA na jarida la Kimataifa la Sunday Times Rich List, (orodha ya matajiri), staa wa R&B Adele anayetamba na ngoma zake kibao ikiwemo ile ya Hello ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi nchini Uingereza kwa sasa kwa kuwa na anautajiri unaofikia Euro milioni 85, sawa na Sh. trilioni 210 za Kitanzania...

Moto wa Magufuli wababua bungeni

Rais John Magufuli SASA ni wazi kwamba kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli, imeanza kuisambaratisha Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, inayoundwa na vyama kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), baada ya jana wabunge hao kususa hotuba ya Waziri Mkuu.         ...

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo Jumamosi ya April 23 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.

  April 23 2016 naanza kwa kukuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasablog na twitter@tanzaniampyasasa. ...

Siwema wa Nay jela miaka miwili kwa kesi ya kutukana

Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao. Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa njia ya mtandao mlalamikaji ambaye anafahamika kwa jina la Deo. Akizunguza na kipindi cha Jahazi, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nay Wamitego alisema ‘napambana kile nitakachoweza kuangalia...
 

Gallery

Popular Posts

About Us