
Mtunzi;Geofrey Malwa
Mawasiliano;0712507115
Kwa upande wa Nelson aliachwa mwenyewe nyumbani kwake,akiwa
amepumzika anachati na watu wake kupitia mtandao wa WhatsApp,mara simu
yake ikaingia meseji,,,Hey baby,nakuja sasa hivi jamani nimekumisi au
uko bize...