
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya baada ya kuugua ghafla
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa
msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah alifariki majira ya saa moja
jioni katika hospitali ya Kibena mjini Njombe ambapo alipelekwa kwa
ajili ya uangalizi wa kiafya.
Dkt Nchimbi amesema kuwa, haijafahamika nini...