...
Tuesday, August 16, 2016
Q CHIEF AFICHUA SABABU ZA JOKATE KIDOTI KUMTOSA LIVE,AFUNGUKA MENGI
Published Under
TOP STORIES

Q Chief: Jokate Alitosa Kutokea Kwenye Video Yangu Kwa Sababu Hii Hapa.
Q Chief hamwezi Jokate Mwegelo. Ni kwasababu anadai imeshindikana kumtumia kwenye video yake kutok...
Q Chief hamwezi Jokate Mwegelo. Ni kwasababu anadai imeshindikana kumtumia kwenye video yake kutokana na kile muimbaji huyo amedai mrembo huyo alitaka alipwe ‘six figures.’
Chief ambaye jina lake halisi Abubakar Katwila amedai...
SHARE!
MSANII DIAMOND PLATINUMZ AFANYA MAANDALIZI YA, ZIARA YAKE BARANI AFRICA
Published Under
TOP STORIES
Hatimaye Diamond ameamua kusikiliza kilio cha wengi kwa si tu kuanzisha bendi yake, bali pia kujiandaa kwa ziara ya Afrika.
Muimbaji huyo amepost video kadhaa zinazomuonesha akiwa mazoezini na bendi hiyo na kueleza kuwa ni maandalizi ya ziara yake ya Afrika.
Miongoni mwa watu wanaonekana kwenye bendi hiyo ni producer, Tudd Thomas.
Ziara hiyo inakuja katika kipindi ambacho staa huyo anajiandaa kuachia...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)