Habari kuwa mmoja
wa vigogo wa muziki wa kiafrika Papa Wemba ametutangulia mbele ya haki
imepokewa kwa mshtuko mkubwa na mashabiki wake kote duniani.
Video
inayosambazwa katika mitandao ya kijamii inamuonesha Papa Wemba
akiendelea na kazi yake anayoifahamu zaidi ya uimbaji kisha anaonekana
akianguka ghafla jukwaani.
Jules Shungu Wembadio Pene...
Sunday, April 24, 2016
Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia
Published Under
TANZIA
Papa Wemba ameaga dunia
Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia
Papa
Wemba ambaye jina lake halisi ni...
SHARE!
Maaajabu!!!!!! Bibi kizee wa miaka 65 kajifungua mapacha wa nne (4) hivi karibuni.
Published Under
MAAJABU
Katika hali ya kushangaza dunia na watu kupigwa butwaa,bibi kizee wa miaka ya 65 kutoka Berlin nchini ujerumani ambaye kwa sasa ana watoto 13 kwa baba watano tofauti,ametanga...
SHARE!
JIPU la Watumishi Hewa Iringa Lavuja Usaha...Idadi Yaongezeka Nje Ya Ile Aliyopewa Rais Magufuli
Published Under
KITAIFA

Hadi kufikia tarehe 18/04/2016 Mkoa wa Iringa umefanya zoezi la uhakiki
wa watumishi kwa awamu mbili awamu ya kwanza, uhakiki ulifanyika kuanzia
tarehe 16/03/2016 na kukamilika tarehe 26/03/2016 ambapo jumla ya
watumishi 15walibainika kuwa ni watumishi hewa katika Mkoa wa Iringa
ambao waliisababishia Serikali hasara ya Shilingi 81,921,725....
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 24 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO

April 24 2016 naanza kwa kukuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo
na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache
kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasablog
na twitter@tanzaniampyasasa.
...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)