KINGAZI BLOG: 06/13/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, June 13, 2016

Wanasayansi wasema Mugabe ana Vinasaba vya Kuishi Milele

WANASAYANSI maarufu kutoka Taasisi moja kubwa ya Sayansi nchini Uingereza wametoa ripoti ya utafiti walioufanya ikithibitisha kwamba, Rais wa Zimbabwe, Komrade Robert Mugabe amegundulika kuwa na vinasaba (genes) ambavyo vitamfanya aishi milele (asife). Robert Mugabemiaka ya 1980. Utafiti huo wa siri unaongozwa na Daktari Irvin Koch umegharimu mabilioni ya fedha na kugundua pia kwamba Bob...

Nuh amuumbua upya Shilole

Nuh Mziwanda akiwa na mrembo anayedaiwa kufanana na Shilole. Stori: BONIPHACE NGUMIJE, WIKIENDA Dar es Salaam: Msanii anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amemuumbua upya aliyekuwa mwandani wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa kuanika A-Z ya namna alivyokuwa anamnyanyasa kwenye uhusiano wao wa kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana naye. Wikenda limeinyaka. Zuwena Mohammed...

Collabo za Diamond na P-Square na Papa Wemba Kutoka mwezi huu.

 Mashabiki wa Diamond na wapenzi wa muziki wa Bongo Flava kwa ujumla sasa wanaweza kukaa mkao wa kula kwasababu collabo za staa huyo walizokuwa wakizingoja kwa hamu hatimaye zitaachiwa hivi karibuni. DIAMOND F/ P-SQUARE Huu ni wimbo wa Diamond aliowashirikisha mapacha maarufu zaidi Afrika, Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square. Video ya wimbo huo ilifanyika April 24 nchini Afrika Kusini....

How much sleep should a child get every night? US experts reveal answer

Guidelines revealed by American Academy of Sleep Medicine for children from babies to teenagers  A newborn baby boy sleeps. Experts have revealed how much sleep babies and teenagers should get every night. Photograph: Alamy Parental warning: Don’t lose sleep over new guidelines on how much shut-eye your kids should be getting. The recommendations range from up to 16 hours daily for babies...

Old rivals, new threats: Zimbabwe's politicians ready themselves for Mugabe's death

Political atmosphere is becoming increasingly turbulent as potential leaders fight to reinvent themselves,  Many people in Zimbabwe fear that violence will erupt when Robert Mugabe dies. To the casual observer, nothing much seems to have happened in Zimbabwe in recent years: Robert Mugabe, the world’s oldest head of state, remains president and Zanu-PF is still the ruling party more than...

Picha 15: Watu 50 wameuawa shambulio la Kigaidi Marekani

June 12 2016 Wamarekani waliamka na habari za kushtukiza sana ambapo mauaji makubwa zaidi yametokea nchini humo baada ya kijana Omar Saddiqui Mateen mwenye miaka 29 kuingia club moja jimboni Florida na kufyatua risasi ambazo zilisababisha mauaji ya watu wasiopungua 50. Taarifa zinasema kwamba kulikuwa na takribani watu 320 ndani ya klabu hiyo wakati tukio hilo linatokea na watu 100...

Ile kolabo ya Diamond platnumz na Marehemu Papaa Wemba yaiva,Ni gumzo!!!!

Hit Alert Song: Papa Wemba Ft. Diamond latnumz soon,Just few weeks ago we got a bad Information for the death of Papa wembaBefore his Death Diamond was already having a Collabo with late Artist Papa wemba so Diamond Platnumz has Promise to drop this hit on 24th June 2016, so stay updated with makubwa haya news we will make sure we will be the first one to show you their Classic Music. right is...

Taarifa ya ACT- Wazalendo Kuhusu Kupotea Kwa Zitto Kabwe Tangu Jana Jioni

TAARIFA KWA UMMA Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku. Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu.  Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.   Msafiri...

Picha 8:Jionee teknolojia iliyitumika kujenga daraja la kigamboni.

Leo tarehe 19 April 2016 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli amefungua daraja la Kigamboni, daraja la kwanza la kuning’inia (Suspension Bridge) katika Afrika Mashariki likiwa na urefu wa mita 680. Daraja hilo linaloshika nafasi ya tatu kwa urefu ukiacha daraja la Mkapa linaloshika nafasi ya kwanza (kilomita 1) huku lile la Umoja linalounganisha Tanzania na Msumbiji...

Gmail kukupa tahadhari kama Serikali inafuatilia nyendo zako mtandaoni

Gmail sasa itakupa taadhari endapo serikali itakuwa inakuwinda. Hii ni mojawapo ya mwendelezo wa juhudi za kuhamasisha matumizi huru ya mitandao ambayo makampuni mengi makubwa kama Apple imekuwa ikiwekea mkazo. Gmail sasa inaimarisha ulinzi kwa kukueleza nini kinaendelea kwenye akaunti yako ya barua pepe. Gmail inatanua uwezo wa “safe browsing notifications” ya akaunti yako pale ambapo unataka...

Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 13 kwwnye habari za kitaifa,kimataifa,michezo na udaku 

Karibu,tunakuletea kile kilichoandkwa kwenye magazeti ya tanzania leo usisahau kulike page yeti ya facebook/tanzaniampyasasa na twiter@tanzaniampyasasa ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us