KINGAZI BLOG: 08/08/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, August 08, 2016

HEBU  JIONEE  WASOMI WETU NA UCHAFU WANAOUFANYA KWENYE KUMBI ZA STAREHE BAADA YA KUMALIZA MITIHANI 👇👇👇

Toa maoni yako hapo chini👇👇...

Simu milioni 900 za Android ziko hatarini, zicheki hapa!

Upungufu wa usalama wa herufi za siri za takriban simu milioni 900 umewapa wadukuzi fursa ya kudhibiti simu za android kote duniani. Upungufu huo unaowapa wadukuzi mlango wa nyuma wa kuiga herufi za siri uligunduliwa baada ya watafiti wa hali ya ubora wa programu Checkpoint walipojaribu kusuluhisha hitilafu iliyowezesha kirusi kuambukiza makumi ya mamilioni ya simu zilizokuwa na programu zilizoundwa...

Kiwanja Cha Ndege Dodoma Kukamilika Mwishoni Mwa Agosti

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa vitendo wakati alipokagua maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma. Imeelezwa kuwa upanuzi na ukarabati wa kiwanja cha ndege  cha Dodoma utakamilika mwishoni mwa mwezi Agosti ili kuruhusu ndege za abiria sabini mpaka tisini kuweza kutua na kuruka na hivyo kurahisisha usafiri wa anga...

MWANAMKE AAMUA KUFUNGA NDOA NA MBWA WAKE BAADA YA KUACHANA NA MUMEWE

Baada ya ndoa yake kuingiwa na jini kisirani na kupelekea kuachana na mume wake , mwanamke huyu muingereza aliamua kufunga ndoa ya kifahari na Mbwa wake. Mwanamke huyo aliejulikana kwa jina la Amanda Rodgers alifunga ndoa na mbwa wake ambae jina lake ni Sheba. Tukio hilo la kustaajabisha lilihudhuriwa na watu wasiopungua 200, kushuhudia ndoa hiyo. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 alisema "...

Hebu ona majanga yaliyompata huyu dada baada, ya kujichora tatoo

 Mwandada anekwenda kwa jina la Torz Reynold mwenye umri wa miaka 26 anetokea nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka baada ya kulipiza kisasi baada ya kugundua boyfriend wake amekuwa akimcheat. Torz alikuwa amejichora tattoo yene jina la mpenzi wake huyo mkononi na ndipo alipo amua kuuimenya sehemu hiyo ya ngozi yake na kuiweka kwenye chupa na kuifunga kama zawadi na kumtumia huyo jamaa yake...

Oscar Pistorius Ajeruhiwa Gerezani

Maafisa wa magereza nchini Afrika Kusini, wanasema kuwa mwanariadha mlemavu wa nchi hiyo Oscar Pistorius, ametibiwa hospitalini baada ya kupata majeraha akiwa korokoroni. Msemaji wa idara ya magereza nchini humo, amesema kuwa Pistorius alianguka kutoka juu ya kitanda Msemaji wa idara ya magereza nchini humo, amesema kuwa Pistorius alianguka kutoka juu ya kitanda chake Msemaji wa idara ya magereza...

Maaaaajabuu!! MWANAMKE AJIFUNGUA BAADA YA KUBEBA MIMBA KWA MIAKA MITANO!

An Abuja-based woman, Mrs Adenike Kolawole, (pictured left) who was barren for 27 years, has reportedly given birth to a baby boy after carrying a 5-year pregnancy. Is that even possible According to PM News, Mrs Adenike gave birth on Sunday October 26th at Evangelical Church of Cherubim and Seraphim located at Pipeline Road, Mafon area, Ejigbo, Lagos during the church’s Sunday service. Narrating...

Magazeti Ya Leo Jumatatu ya Agosti 8 kwenye habari zakitaifa kimataifa michezo n. K

...

Drake ataka kuzaa na Rihanna!

STAA wa muziki kutoka Marekani ambaye ni raia wa Canada, Aubrey Graham ‘Drake’ kidizaini ameonesha kama kutaka kuanzisha familia na msanii mwenzake, Robyn  Rihanna Fenty baada ya kutamka hadharani katika Ukumbi wa Air Canada Centre mjini Toronto. Tukio hilo lilijiri katika moja ya ziara zake kati ya saba zinazofahamika kama OVO Fest ambapo akiwa katikati mwa shoo, Drake alishangaa Rihanna kumsapraizi...

Serikali Yatangaza Mwongozo Mpya wa Elimu Kuwa Masomo ya Sayansi ni Lazima Yasomwe Na Wanafunzi Wote

SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne.  Kwa mujibu wa Sera ya Elimu iliyopo, wanafunzi wanaosoma elimu ya sekondari wanaweza kuchagua aina ya masomo watakayo wafikapo kidato cha tatu na kuacha mengine. Uamuzi huo ulitangazwa jana mjini Tanga  na Waziri...

Kumbe Nuh kapora demu wa mtu!

Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, na anayedaiwa kumpora Nawali. DAR ES SALAAM: Ubuyu wa mjini unanyetisha kuwa, mkali wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha Ali Kiba, Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupora demu wa jamaa ambaye naye ni msanii wa wa Bongo Fleva, Valentino Michael ‘Vale wel’. Mrembo anayedaiwa kuporwa kwa Vale ni yule Nawali ambaye kwa sasa Nuh anamnadi...
 

Gallery

Popular Posts

About Us