KINGAZI BLOG: 03/16/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 16, 2016

hebu fuatilia sehemu ya kwanza ya kisa hiki cha mapenzi

TARATIBU MPENZI,,,Sehemu ya kwanza,,,ni utamu tuu kwenda mbelee,,, Chombezo;Taratibu mpenzi Mtunzi;Geofrey Malwa Phone no;0712507115 Sehemu ya 1 Ilikuwa ni tafrija ya Suzan mtoto pekee wa Bwana George Suleman aliyehitimu masomo yake ya shashada ya Sheria,hivyo wakiwa kama familia yeye na mkewe waliamua kumfanyia tafrija ndogo hapo nyumbani kwao,ili kupendezesha Tafrija hiyo Bwana George Suleman aliwaalika ndugu na jamaa zake wa karibu ambao kwa heshima na taadhima walihudhuria wote bila kuko...

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI

The United Republic of Tanzania is conducting recruitment of civil servants through Public Service Recruitment Secretariat, &nbs...

Kizaazaa cha Bundesliga kuendelea wikendi hii

Bayern Munich hawajashinda katika mechi zake mbili za mwisho na mshambulaiji Thomas Mueller anasema hawastahili tena kupoteza pointi nyingine zaidi za Bundesliga wakati wakipambana leo na Werder Bremen Uongozi wa Bayern kileleni mwa msimamo wa ligi umepunguzwa hadi pointi tano baada ya...

Wakenya walalamikia kuongezeka kwa ufisadi

Utafiti Uliofanywa na taasisi ya serikali ya kupambana na rushwa Kenya inaonyesha kuwa nusu ya raia nchini humo wanaamini kuna ongezeko la matukio ya rushwa katika kipindi cha utawala wa rais Uhuru Kenyatta Kulingana na taarifa hiyo, iliyotolewa na tume ya maadili na kupambana na rushwa, asilimia 74 ya idadi ya raia nchini humo , wanaamini kuwa rushwa imeongezeka katika utawala wa sasa...

Picha ya utupu wa Kim Kardashian yafutwa Australia

Kanye West na mkewe Kim Kardashian Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australi...

Usingizi wamponza mchezaji Ujerumani

  Bendtner ametozwa faini ya euro 50 kwa kila dakika aliyochelewa Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner amepigwa faini baada ya kuchelewa kufika mazoezini kwa sababu ya usingizi. Bendtner, ambaye aliwahi kuichezea...

Trump asema huenda fujo zikazuka Marekani

  Trump ameshindwa katika mchujo jimbo la Ohio Mfanyabiashara tajiri Marekani Donald Trump, amesema anafikiri kutatokea fujo iwapo ataongoza kwa wajumbe kisha chama chake cha Republican kitakosa kumuidhinisha awanie...

MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2016/2017.

...

BEN POL FT G-NACKO & VJ ADAMS - NITAFANYAJE(NINGEFANYAJE RMX)(AUDIO)

...

PAUL OKOYE - CALL HEAVEN(AUDIO)

...

Chief Maker - DEVOTA (Official Video)

...

Lulu azuiwa kuingia Ikulu

Staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’. DAR ES SALAAM: Imefichuka! Baada ya kuitwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kupongezwa kutokana na tuzo aliyopata nchini Nigeria, staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijikuta akihaha baada ya kuzuiwa kuingia Ikulu kutokana na kutokuwa na kitambulisho cha chama cha waigizaj...

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba – 4

 ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya husababisha mwanaume kupoteza nguvu za kiume. Msomaji ningependa kukujulisha kuwa tafiti zinaonesha unywaji pombe unaathari nyingi...

Zijue faida za tikitimaji mwilini

TIKITImaji ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa wingi nchini ni tunda lenye virutubisho vingi vyenye faida kubwa katika mwili wa binadamu japokuwa asilimia 92 ya tikitimaji huwa ni...

Maajabu ya Dunia: Mbwa Mwenye Pua Mbili Mcheki Hapa

Pua mbili za mbwa mwenye jina la Toby kama anavyooneakana. HAYA tunaweza kusema ni maajabu ya dunia, kwa uharisia ni mara chache sana kuona mnyama...

Maagizo sita ya Magufuli

div data-share-desc=" div data-share-desc=" ...

Miezi mitatu kabla simu bandia kuzimwa, wateja wahaha kuzibadili

DESEMBA 18, mwaka jana Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitangaza kuzifunga simu zote zitakazobainika kuwa bandia baada ya miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu, yaani Januari Hadi Juni...

Siri ya Maalim Seif kuishi hotelini Dar hii hapa.

Dar es Salaam SIRI imefichuka kuhusu hatua ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK), Maalim Seif Sharif Hamad, kuishi hotelini jijini Dar es Salaam...

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 16 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, @tanzaniampya news blog.na twitter@TZmpyasas...

Magazeti ya tanzania yalichoandika leo tarehe 16 march katika habari kuu na michezo.

...

SIMULIZI FUPI: NILIKUWA NA MPENZI

SIMULIZI FUPI: NILIKUWA NA MPENZI MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU: 0655 727325;  Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo hasw...
 

Gallery

Popular Posts

About Us