Wenyewe wanasema ‘sasa imetosha.’ Hii ni taarifa kutoka kwa Tanzania Bloggers Network:
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini ‘Tanzania
Bloggers Network’ – TBN inawaomba wanachama wake wote kutotumia taarifa
ama habari au picha yoyote kutoka katika mkutano wa maadhimisho ya Uhuru
wa Vyombo vya Habari (WPFD) unaofanyika kitaifa mkoani Mwanza.
Kamati Kuu ya Uongozi TBN...
Tuesday, May 03, 2016
Mabloga Tanzania waungana kupinga taasisi za habari ‘zinazowachukulia poa’
Published Under
IMPORTANT NEWS
SHARE!
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Atoa ONYO Kali kwa Wanaume Wanaowapa Mimba Wanafunzi
Published Under
BUNGE
Serikali imewaagiza Maafisa maendeleo ya Jamii na maafisa ustawi wa Jamii wa wilaya,kata na mikoa nchini kuwafatilia wanaume wanaowapa ujauzito watoto wa shule na kuwafikisha Mahakamani.
Akizungumza leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, amesema serikali haitamvumilia mwanaume yoyote anaempa mwanafunzi...
SHARE!
Rais Magufuli Ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Mkoani DODOMA
Published Under
KITAIFA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipowasili...
SHARE!
Kama ulikosa tuzo za Man United na wachezaji walioshinda, zipo hapa (+Pichaz&Video)
Published Under
MICHEZO
Mei 3 2016 klabu ya Manchester United ya Uingereza ilifanya na kutoa tuzo zake za mwaka kwa wachezaji ambao wamefanya vizuri katika msimu wa 2015/2016, Man Unitedwametoa tuzo hizo kwa wachezaji kama Marcus Rashford ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 18 na golikipa wao David de Gea ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
Mshambuliaji...
SHARE!
PENZI la Mwanamuziki Shaa na Master Jay...Shaa Afunguka Kinachoendelea Kwa Sasa....
Published Under
TOP STORIES

Master J na Shaa wamekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mingi sasa na wameendelea kuwa imara.akini pamoja na kuwa hivyo, bado uhusiano wao wa kikazi una nafasi kubwa zai...
SHARE!
WCB wadaiwa kumpora producer Frag ngoma ya 'bado
Published Under
TOP STORIES

'
Producer Frag kutoka Uptown Music ametumbua jipu baada ya kuibuka na kusema kuwa yeye ndiye aliyetengeneza wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond.
Frag aliiambia Enewz kuwa pamoja na kazi kubwa aliyoifanya kuhakikisha ngoma hiyo inakuwa poa lakini bado WCB wakamzima na hawakumlipa hata senti tano na kuambulia elfu thelathini pekee ya nauli.
“Kawaida nikifanya kazi uptown music lazima saini zangu...
SHARE!
Hii ndio siri kuu kuhusu Escrow
Published Under
KITAIFA

SIRI kuu ya James Rugemalira, kumwaga mabilioni ya shilingi kwa baadhi ya majaji wa mahakama kuu, viongozi waandamizi serikalini na madhehebu ya kidini, wabunge na viogogo wa Ikulu, zimeanza kufumuka.
Nyaraka mikononi mwa gazeti hili zinaonesha zaidi ya asilimia 90 ya wale waliopewa fedha na Rugemalira, ni wale waliomsaidia “kufanikisha ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 324 bilioni kutoka Benki Kuu (BoT)...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)