KINGAZI BLOG: 04/11/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, April 11, 2016

RAIS DK. MAGUFULI AAGIZA BILIONI 6 KUTOKA BUNGE ZIKABIDHIWE KWA MAGEREZA NA JKT ILI KUTENGENEZA MADAWATI 120.000

s Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hundi Kifani yenye thamani ya Shilingi Bilioni Sita kutoka kwa Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson mara baada ya Taasisi ya Bunge kutekeleza kwa vitendo kauli ya kubana matumizi yasio na Tija ili fedha hizo zikanunulie madawati kwa ajili ya wanafunzi...

ANGEL CLASSIC - UMENITEKA(AUDIO)

...

HARMONIZE - CHAI YA MAPENZI(AUDIO)DOWNLOAD

...

Lady Jaydee akutana na Ray C, amwandikia ujumbe huu

Msanii wa muziki, Lady Jaydee amekutana na Ray C hivi karibuni na kumshauri mambo kadhaa kuhusu afya yake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa Ndindindi, ameonyesha kutoridhika na afya ya Ray C na kuamua kumwandikia ujumbe wa kumpa matuamain...

VIDEO;Hiki ndicho Anaichokifanya Diamond platnumz kwenye show yake

Miongoni mwa vitu vinavyoendelea kumpa umaarufu msanii diamond platinumz ni uwezo wake wa kulitawala jukwaa ...

Mwanahabari wa al-Shabab auawa Somalia

Hanafi alikuwa afisa wa habari wa kundi la al-Shabab Mwanahabari aliyesaidia kundi la al-Shabaab kuua wanahabari wenzake nchini Somalia ameuawa. Hassan Hanafi ameuawa kwa kupigwa risasi mapema asubuhi baada ya kuhukumiwa kifo ...

Breaking News!! Rais Magufuli Aamfuta kazi Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala Wake mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala wa Mkoa huo Abdul Rashid Dachi, kufuatia mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuw...

Wabunge Wahoji Uhalali wa Kisheria wa Rais Magufuli kuhamisha fedha za Muungano na Kuzipeleka Kwenye Ujenzi wa Barabara Mwanza

Baadhi ya Wabunge wamehoji uhalali wa kisheria wa Rais John Magufuli kuhamisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ya Muungano na kuzipeleka kwenye ujenzi wa barabara katika Uwanja wa Ndege wa Mwanz...

Seif ajisafisha kwa wana CUF

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hammad. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa chama chake kususia uchaguzi wa marudio uliafikiwa na Baraza Kuu la Uongozi na hauna uhusiano na taarifa kwamba...

SHARE! Magazeti ya tanzania yaalichoandika leo Jumatatu ya tar 11 april kwenye habariza kitaifa,kimataifa,udaku na michezo.

April 11 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa kari...
 

Gallery

Popular Posts

About Us