KINGAZI BLOG: 06/14/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, June 14, 2016

Africa's Electricity: Needs are being met with innovative new projects

Africa´s entire installed capacity for electricity generation of 147 GW (Gigawatts) is equivalent to that of Belgium and to what China installs every two years.       inShare 0 A satellite image of the world at night shows a brightly lit Europe covered with starry dots and in sharp contrast, a dark, unlit Africa. More than a century after the light bulb was invented, African school children “often cannot read after dusk, business cannot grow, clinics cannot refrigerate medicine or vaccines, and industries are idled hampering economic growth, jobs, and livelihoods,” says a report by the World Bank. According...

PICHA: PROFESA JAY NAYE ATINGA NDANI YA WCB,DIAMOND AFUNGUKA HAYA.

...

Linah Aweka Hisia zake za Mapenzi Kwa Mwanamuziki Darasa..Asema Anatamani Kuzaa Naye mtoto

Linah amesema anatamani kuzaa na mwanaume mwenye sifa kama za rapper Darassa. Muimbaji huyo amesema kwa jinsi ambavyo amewahi kukaa na Darassa na kumsikia akiongea kwa muda mfupi, alibaini kuwa anaweza kuwa baba mzuri. “Ni mtu ambaye ana sifa zote za kuweza kuwa mwanaume ambaye namtaka. Namchukulia kama kaka yangu yaani sijawahi kumfeel kimapenzi lakini nimekaa naye kwa muda mfupi, nimemuona ni...

Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB

Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB jana mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz. Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana wa jan...

PICHA:Mdada aliyetikisa mtandao wa instagramu jana usiku

Anajulikana kwa jina la #Nancystery huko instagram,huyo ndio anayetikisa mtandao wa instagram Jana usiku,hizi APA no baadhi ya picha zake zilizozua gumzo mtandaoni!!! ...

Ben Pol Afunguka 'Muungano wa Diamond Platnumz na Rich Mavoko na WCB

Mkali wa wimbo ‘Moyo Mashine’, Ben Pol amefunguka na kuzungumzia hatua ya Diamond Platnumz kumsani msanii kubwa kama Rich Mavoko katika label yake WCB. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Ben Pol amesema hatua ya Diamond kuamua kumsaini Rich Mavoko katika label ya WCB, itafungua njia kwa wasanii wengine kuwa na moyo wa kusaidiana wenyewe kwa wenyewe. “Ni vizuri sisi kwa sisi tukaaminiana na kufanya...

MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA TAR 14 JUNE KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA,MICHEZO NA UDAKU

...

Viongozi wa CUF wamkana Profesa LIPUMBA wadai kilichomfanya aondoke bado kipo,kwa nini arudi????

Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitengua uamuzi wake wa kung’atuka kwenye wadhifa huo na kuomba kurejea, viongozi wa juu wa chama hicho wamepinga hatua hiyo wakisema katiba yao hairuhusu na kwamba anakwenda kukiua chama. Kauli za viongozi hao, zimekuja muda mfupi baada ya Profesa Lipumba kutangaza nia hiyo jana kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho, Buguruni huku...

Profesa Lipumba Atangaza Kurejea Kwenye Nafasi yake ya Mwenyekiti wa CUF taifa.

HATIMAYE Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa Mwenyekti wa Chama cha Wananchi (CUF) ametangaza kurejea kwenye nafasi yake ya uenyekiti-taifa wa chama hicho. Amesema, anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya muda wa kutosha alioutumia kutafakari siasa za nchini na namna demokrasia inavyokanyagwa na watawala wa nchi hii. “Nimemwandikia Katibu Mkuu (Maalim Seif Sharif Hamad) kutengua barua yangu niliyoandika...
 

Gallery

Popular Posts

About Us