Baba na mtoto
Baba wa miaka 28
nchini Marekani amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo
unaofanana na kovu la kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
Josh
Marshall,ambaye anatoka Kansas aliingia katika shindano la kila mwaka
linaloendeshwa na shirika...
Monday, June 27, 2016
Black Coffee ambwaga Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET
Published Under
TOP STORIES
DJ
raia wa Afrika Kusini ambaye pia ni producer maarufu kama Black Coffee,
amewabwaga wanamuziki maarufu wakiwemo WizKid, Yemi Alade na Diamond
Platnumz na kushinda tuzo la kimataifa la usanii la BET.
Mwaka uliopita Black Coffee alitoa albamu yake ya tano, Pieces of Me, na kupata mashabiki wengi.
Mwaka...
SHARE!
Hii hapa Orodha nzima ya washindi wa tuzo za BET 2016,
Published Under
TOP STORIES

Beyonce ameonyesha thamani yake kwa kuchukua tuzo tano za BET zilizofanyika usiku wa Juni 21 kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles.
Queen Bey amefanikiwa kuibuka na tuzo hizo ikiwemo ya Best Female R&B/Pop Artist, Video of the Year, Coca-Cola Viewers Choice Award, Centric Award huku wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tuzo hizo ni pamoja na Drake, Rihanna na wengine.
Hii ndiyo...
SHARE!
Rais Magufuli ameteua wakuu wa wilaya 139, mabadiliko madogo kwa wakuu wa mikoa
Published Under
UTEUZI
...
SHARE!
Nafasi za Ajira kutoka BRAC
Published Under
AJIRA
Job Vacancy: Head of Internal Audit
Source The Guardian, 24 TH June 2016
Head of Internal Audit
BRAC is one of the world largest development organization has extensive development program globally, BRAC in Tanzania seeking application from competent, dynamic and self-motivated individual to fill up the position ‘with the following specifications:
Duties and Responsibilities:
Prepare Individual...
SHARE!
Nafasi za Kazi Kutoka Aga Khan Education Service, Tanzania
Published Under
AJIRA
Job Vacancy : A NECTA Coordinator
Source Dailynews,24th June 2016
Aga Khan Education Service, Tanzania
CAREER OPPORTUNITIES
Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES, T), is a private, not for profit, education company registered under the companies Act and operates four schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP /Diploma Programme, Pre IGCSE at grade 7 -9, IGCSE at...
SHARE!
Meli ya Mizigo Yazama Bandari ya Zanzibar
Published Under
ZANZIBAR

Zoezi la uokoaji likiendelea eneo ilipozama meli ya MV Happy.
Meli ya mizigo iitwayo MV Happy iliyokuwa ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Zanzibar imezama leo asubuhi kwenye Bahari ya Hindi eneo la Chumbe, Unguja.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba meli hiyo ilianza kuzama majira ya saa 10 alfajiri na kufikia saa moja asubuhi ilikuwa imezama kabisa ndani ya maj...
SHARE!
Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo
Published Under
KITAIFA

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo kuanzia jana.
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imesema Rais amemteua Dk Charles Mlingwa ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha kujaza nafasi hiyo.
Mulongo anakuwa mkuu wa mkoa wa pili kutimuliwa kazi na Rais Magufuli baada ya Anne...
SHARE!
DIAMOND PLATINUMZ AUTAMBULUSHA WIMBO WAKE MPYA NA P-SQUARE
Published Under
TOP STORIES

Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika Kusini.
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri...
SHARE!
PICHA 13:Muonekano wa baadhi ya mastaa kwenye fainali tuzo za BET
Published Under
TOP STORIES
Usiku wa June 26 ndio tuzo za muziki za BET zinamalizika kutolewa kwa mwaka 2016. Kila mtu ametokelezea kivyake mtu wangu. Hizi ni baadhi ya picha za wasanii katika Red na Gray carpet pamoja na nje ya ukumbi ambao tuzo zinatolewa Los Angeles Marekani.
Diamond
A.K.A
Alicia Keys
DJ Khaleed
...
SHARE!
MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 27 KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO NA UDAKU.
Published Under
MAGAZETINI LEO
Karibu, tunakuletea vichwa vya habari katika maazeti ya Tanzania Leo Juni 27 usisahau kukaa karibu kwa kulike page yangu ya Facebook hapo chini uwe wa kwanza kpata habari mpya
...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)