
May 28
2016 Serikali iliwarejesha nyumbani wanafunzi 7,805 waliokuwa wanasoma
Stashahada Maalum ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati Chuo Kikuu Dodoma.
Wanafunzi
waliosimamishwa masomo walikuwa wamegawanyika katika makundi makuu
mawili. Kundi la kwanza lilikuwa ni wanafunzi 6,595 waliodahiliwa katika
Stashahada Maalumu ya Ualimu wa Elimu ya Sekondari na kundi la pili
lilikuwa...