KINGAZI BLOG: 05/13/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News

Friday, May 13, 2016

Gigy money ataja mastaa waliowahi ku'date' nae

Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram. Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi...

Hebu jionee hizi picha za lulu na muna love zinazoleta gumzo.

Picha, hizi za star wa bongo movies LULU na Mwenzie MUNA LOVE ndio zimekuwa gumzo kwenye mtandao wa instagram Jionee mapozi haya ya lulu na Muna Love ...

DJ MAARUFU DAR ADAI KUZAA NA MAMA AKE DIAMOND PLATNUMZ.

  Jerry Kato aliyedai kuzaa na mama ake diamond platnumz Dar es Salaam: Kumekuwepo na usiri juu ya baba wa mdogo wa Mwanamuziki ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz lakini huenda utata ukafika mwisho baada ya aliyekuwa DJ maarufu jijini Dar kuibuka na kudai kuwa ndiye aliyemzaa mtoto huyo na mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akimpinga na kuamua kumuweka wazi baba halali wa Esma.   Esma...

NEW SONG:ALI KIBA - AJE (Download)

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us