Kocha wa Simba Jackson Mayanja.
KOCHA Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja amesema wanakwenda Tanga
kushinda katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal
Union utakaochezwa mwishoni mwa wik...
Friday, March 18, 2016
Maofisa 3 Chato watumbuliwa
Published Under
KITAIFA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa
Katoro mkoani Geita jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
UTUMBUAJI majipu umehamia katika wilaya anayotoka Rais John Magufuli,
ambako Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi...
SHARE!
Mkuu wa Shule matatani kwa mapenzi na wanafunzi wake
Published Under
KITAIFA
MKUU wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiagai
MKUU wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiagai
ameagiza Mkuu wa Shule ya Sekondari Chemichem wilayani humo, Juma Makoro
kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo...
SHARE!
SUGU FT LIZZY - FREEDOM(AUDIO)
Published Under
AUDIO

Pamoja na majukumu ya ubunge na shughuli nyingine za kiserikali bado mbunge wa jimbo la mbeya mjini kupitia chadema,Mh.Joseph mbilinyi ameamua kuudhihirishia umma wa watanzania kwamba muziki bado uko kwenye damu,hyo ni baada ya kuachia singo mpya inayokwenda kwa jina la FREEDOM. hebu isikilize hapa chini kwa kubofya link hiyo hapo chini sasa.
...
SHARE!
Magufuli aichoka IPTL
Published Under
KITAIFA
*Atangaza uamuzi mgumu kuhusu mitambo yao
*Aeleza siri ya kumteua Makonda Mkuu wa Mkoa Da...
SHARE!
HAYA HAPA MAGAZETI YA TZ LEO IJUMAA MACHI 18,2016- YAPO YA UDAKU,MICHEZO NA HARD NEWS
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 18 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
Published Under
MAGAZETINI LEO
March 18 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori
zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,
Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa
karibu yangu kwenye facebook,@TANZANIAMPYA NEWS BLOG na twitter@TZmpyasa...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)