
Kulwa Alfre alivyobabuka mgongo.
MWANZA: Kweli hujafa hujaumbika! Mwanamama Kulwa Alfred (37), mkazi wa Pasiansi jijini hapa amelala kitandani kwa takribani siku 547 ambazo ni sawa na mwaka mmoja na nusu akisumbuliwa na matatizo ya miguu kiasi cha kumsababishia eneo kubwa la mwili wake kubabuka.
Akisimulia kwa majonzi, jirani wa Kulwa ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini, aliliambia...