KINGAZI BLOG: 06/06/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, June 06, 2016

MPANGO WA KUMWONDOA NAIBU SPIKA DK. TULIA WAIVA ... BARUA YATINGA RASMI OFISI YA BUNGE

...

Prof Tibaijuka awa gumzo atumia usafiri wa bajaj

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka, leo ametumia usafiri wa Bajaj hatua inayomfanya kuwa mwanasiasa wa kwanza mashuhuri nchini kutumia usafiri huo hadharani. Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi muda mfupi baada ya Profesa Tibaijuka kufungua mkutano wa Kimataifa unaohusu upatikanaji wa majisafi na...

Lipumba ruksa kuwania umwenyekiti CUF

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kama aliyekuwa mwenyekiti wake wa Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba anataka kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 21, mwaka huu ruksa.   Agosti 5, mwaka jana Profesa Lipumba alijiuzulu wadhifa huo akisema ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida wa chama hicho. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Shaweji...

Picha:Hatimaye Mwana FA Afunga Ndoa, jana.

Mwana FA unaoa lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii. Hitmaker huyo wa Asanteni kwa Kuja amefunga ndoa na mchumba wake aitwaye Helga. Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengin...

Mama Harmonize Amtilia Shaka Wolper

 Jacqueline Wolper Massawe na mkwe wake, mama Harmonize. DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya staa wa Wimbo wa Bado, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ kumtambulisha mchumba’ke, Jacqueline Wolper Massawe nyumbani kwao katika Kijiji cha Mahuta mkoani Mtwara, siri imevuja kuwa wakati wa zoezi hilo, mama mzazi wa jamaa huyo, anadaiwa kumtilia shaka mrembo huyo juu ya mwanaye na kumpa wosia mzito.  Tukio...

Picha: Naibu Spika, wabunge wakicheza mziki kwenye show ya Lady Jaydee Dodoma

Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, wikiendi iliyomalizika aliunga wabunge wengine pamoja wapenzi wa muziki kwenye show ya Lady Jaydee ya Naamka Tena Tour mjini Dodoma. Show hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Royal Village huku pia Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez akihudhuria.  Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji akizungumza...

Msanii Diamond Platnumz atoa msaada kwa wanafunzi 1800 jijini Dar es salaam

e Msanii Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Msanii Diamond Platnumz na uongozi wake siku ya Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live alitoa ahadi kuwa Jumatatu watapeleka zawadia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa ajili ya watanzania. Na leo hii msanii huyo ametimiza ahadi hiyo kwa kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa madawati 600 ya wanafunzi...

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO TAREHE 6/6/2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA UDAKU NA MICHEZO.

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us