KINGAZI BLOG: 04/04/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, April 04, 2016

Odinga ampigia saluti magufuli

Odinga

 Bw Odinga amekuwa kaskazini magharibi mwa Tanzania kwa siku tatu
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga amesema ana imani Rais wa Tanzania John Magufuli ataisaidia Tanzania kukabiliana na changamoto zinazoikabili.
Bw Odinga amerejea nchini Kenya baada ya kumaliza mapumziko ya siku tatu eneo la Lubambangwe, wilaya ya Chato mkoani Geita, ambako alimtembelea Rais Magufuli ambaye pia yupo mapumzikoni.
Akizungumza katika uwanja wa michezo wa shule ya Sekondari ya Chato kabla ya kuabiri helikopta, Bw Odinga amesema ana imani kuwa Rais Magufuli ataisaidia Tanzania kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo umaskini unaowakabili wananchi wake.
"Lakini mimi najua yeye mwenyewe ana maono, anaona mbele na anajua yale ambayo yanatakiwa yafanyike ili Tanzania iinuke, itoke katika hali ya ufukara na kuwa katika hali ya maendeleo zaidi," amesema Bw Odinga kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu ya Tanzania.
Bw Odinga, ambaye kwa sasa ni kiongozi wa mrengo wa upinzani Kenya, amekuwa rafiki wa karibu wa Dkt Magufuli.
Urafiki wao ulikolea zaidi wawili hao walipokuwa mawaziri wa ujenzi na barabara.

Magufuli afuta sherehe za sikukuu ya kumbukumbu ya muungano

Magufuli

Hii ni mara ya pili kwa Rais Magufuli kufuta sherehe za sikukuu.
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania

CUF: Hatumtambui Dr. Shein kama rais wa Zanzibar


CUF Chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio
Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar kimesema hakimtambui Dkt Mohamed Ali Shein aliyetangazwa kuwa

Flavour- DANCE (Official Video)


Eddy Kenzo - VIVA AFRICA(OFFICIAL VIDEO)

MUBANDA FT WALTER CHILAMBO - QUEEN(AUDIO)


Baghdad Ft. Profesa J Don Koli & Nikki Mbishi - Mtazamo (Remix)



ICE PRINCE - SEASON(OFFICIAL VIDEO)


SKALES - I WANT YOU (OFFICIAL VIDEO) [download]


Diamond, Kiba sasa ni vita ya kifamilia



Image result for ALIKIBA 
 Wakali wa Bongo fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ Na Nassib Abdul  Diamond platnumz
Dar es Salaam: Imevuja! Harakati za kusaka mafanikio na kufika mbali kimuziki zimeibua jipya kati

Magufuli atoa neno Chato.

RAIS John Magufuli amesali Ibada ya Jumapili kijijini kwao wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Rais, na kusisitiza Watanzania wote kuendelea kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na amani na kuwataka kupendana, kushirikiana na kutobaguana.

MAFURIKO YALETA BALAA KIJIJI CHA CHACHENE HUKO DODOMA VIJIJINI





Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi imeleta athari kubwa katika Kijiji cha Chenene Kata ya Haneti Tarafa ya Itiso, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma na kukosesha makazi zaidi ya kaya 40.

ST.JOSEPH UNIVERSITY YAPIGWA STOP KUDAHILI WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2016/17


Minister for Education and Vocational Training Joyce Ndalichako.

HALIMA MDEE AMTAKA MAGUFULI KUTAJA POSHO NA MARUPURUPU ANAYOPATA





Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee amemuomba Rais John Magufuli kuweka wazi posho na marupurupu anayoyapata ili Watanzania wajue kiasi halisi anachokipata mbali na mshahara wake.

Haya Hapa Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 4 2016 kwenye, Habari za kitaifa,kimataifa,udaku na michezo.

April 4 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa.
20160404_044121
20160404_044132
20160404_044154
20160404_044205
20160404_044220
20160404_044229
20160404_044238
20160404_044248
20160404_044301
20160404_044310
20160404_044320
20160404_044327
20160404_044337
20160404_044346
20160404_044358
20160404_044407
20160404_044416
20160404_044423
20160404_044537
20160404_044553
20160404_044601
20160404_044610
20160404_044619
20160404_044630
20160404_044641
20160404_044711
20160404_044726
 

Gallery

Popular Posts

About Us