Rais
JOHN POMBE MAGUFULI amekabidhi zawadi zenye jumla ya shilingi milioni
tisa kwenye vituo ishirini na nne vya watoto wa mitaani ...
Friday, March 25, 2016
SAMSUNG yazindua simu mpya
Published Under
TOP STORIES
Kampuni
ya kimataifa ya vifaa vya elektroniki ya Sumsung imesema simu aina ya
Sumsung Galaxy s7 na S 7 Edge zimetengenezwa kwa teknolojia ambayo
inamwezesha mteja kuitumia kwa ufanisi
SAMSUNG yazindua simu mp...
SHARE!
Waliokamatwa kwa uchangu wahukumiwa
Published Under
KITAIFA
Machangudoa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi.
WAREMBO waliokamatwa hivi karibuni kwenye msako wa machangudo na
wazururaji uliofanywa na jeshi la polisi, wamefikishwa katika Mahakama
ya Mwanzo ya Chamwino, mkoani hapa na kusomewa hukumu
.
Katika msako wa Machi 18, mwaka huu, warembo; Mariam Hamis (mkazi wa
Mwembesongo), Shani Hassani (mkazi wa Mawenzi), Zawadi Shekilema
(hakujulikana),...
SHARE!
Uliye naye ni mtu sahihi kwako au umebugi?
Published Under
MAKALA MUHIMU
Hakuna jambo linalowasumbua
watu wengi katika uhusiano wa kimapenzi kama kumtambua mwenzi sahihi.
Upo msemo maarufu mitaani kwamba ni bora ukosee mambo mengine yote
lakini siyo...
SHARE!
Faida/ hasara za kurudiana na mpenzi wako wa zamani.
Published Under
MAKALA MUHIMU
Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena
jamvini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita
tulijadiliana kwa kina kuhusu suala la kuachana kisha kurudiana kwa watu
ambao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Pia tukatazama hasara au athari wanazoweza kukumbana watu wanaoishi
kwenye aina hii ya uhusian...
SHARE!
Zari adaiwa kumpa makavu laivu Kajala
Published Under
STORI KALI
Zarinah Hassan ‘Zari’.
Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja
amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’
wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani blog hii kuwa, kimenuka kati ya Zari na Kajal...
SHARE!
Ndege yanaswa KIA ikitorosha tumbili 61
Published Under
KITAIFA
WAKATI Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe
akiwasimamisha kazi mara moja wakurugenzi wanne na mameneja saba wa
Kanda wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Idara ya
Wanyamapori kutokana na usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi,...
SHARE!
Haya hapa Magazeti ya leo March 25 2016 kwenye,habari za`kitaifa kimataifa Udaku, na michezo
Published Under
MAGAZETINI LEO
March 25 2016 nakuletea haabari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,
Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa
karibu yangu kwenye facebook, twitter @tanzaniampya news bl...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)