
Chama
cha mapinduzi CCM kimemteua Mbunge wa Zamani wa SIMANJIRO mkoani
Manyara, CHRISTOPHER OLE SENDEKA kuwa msemaji wa chama hicho
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtangaza Mjumbe wa Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM, Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Rasmi wa CCM leo,
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Akitangaza hatua hiyo katika mkutano...